UHALISIA: Kilichomtokea Dr. Ulimboka mwanzo-mwisho...

UHALISIA: Kilichomtokea Dr. Ulimboka mwanzo-mwisho...

Hii "Movie" haijaunga vizuri hapo kwenye "daktari mwenzake" ambaye alienda naye kwenye appointment.

Je ni wakati gani aliachana naye?

Nakubaliana na wewe kabisa. Pengine naye ataweza kueleza vizuri but kama ni yule ninayemfikiria, I doubt kama naye hakuwa kazini kuelezea yaliyokuwa yanaendelea...but the other question ni kuwa nani alimuunganisha Dr. Ulimboka na huyo jamaa wa Ikulu some months back?
 
Tungependa kupata waandishi wa habari shujaa watakaoweza kuweka hizi story kwenye magazeti na kwenye redio, ili kila mwananchi ajue serikali ya Kikwete ni serikali ya aina gani. Yafaa pia taarifa kama hii ifikishwe kwenye vyama vya wanaharakati, ili wasiendelee kusema watu wasiojulikana bali waseme moja kwa moja kwamba alitekwa na kuumizwa na serikali, ieleweke moja.

Ipo kwenye mwananchi la JULY 01 ukurasa wa 4
 
Dr Slaa alisema jk ni jangaa la kitaifa,baadhi wakamwita mdini wengine mzinzi.Je leo ki wapi wananchi wanauwa hovyo bila wahusika kufikisha kwenye sheria?Pia alisema hawezi kuingia ikulu kwa umwagaji damu hiyo ilikuwa salsafa ya hali ya juu, lakini leo twayaona watawala wapo tayari kuua ili waendelee kutawala. Jamii inaelekea kukata tamaa ndio mwanzo wa kila mtu kujihami anavyoona inafaa,tuelekeako ni giza toto asipoachia madaraka huyu mr misifa jk nchi itaingia kwenye machafuko.Wahenga dalili za mvua ni mawingu, hii ndondondo ya vurugu inazaa machafuko.Tusali tukiomba Rab atuepushe na janga la jk ili siku moja tufurahie jasho la nchi yetu.Yeye anaua,mwanae ananyang'anya raia tenda mfano uzoaji taka D'salaam.Hili la Steven si jambo jema mbele ya jamii,hv leo watu wamegeuka wanyama kiasi hicho!
 
LUKOLO, usikataze watu kuhusisha TISS katika mateso aliyofanyiwa Dr. Ulimboka...!

1. Maelezo aliyotoa Dr. Ulimboka, nikuwa; anakumbuka maeneo ya victoria kabla ya kupelekwa kuteswa kwenye hiyo nyumba, na baada ya kuteswa anakumbuka kuyapita maeneo ya mwenge. Hivyo, eneo alilopelekwa kulingana na maelezo yake ni kati ya victoria na mwenge lenye nyumba nzuri, na ambapo eneo hilo baada ya risasi kufyatuliwa hakuna polisi aliyeweza kulisogela. Lukolo, wewe unadhani patakuwa ni wapi?

2. Information alizotakiwa azitoe, jambazi wala kibaka hawezi zihitaji. Hata aliyepoteza ndugu yake fuatia mgomo wa madaktari, hawezi hitaji hizo infor...! Likolo, nani atazihitaji?

3. Ushiriki wa TBC katika ku'ikava hii habari nao unatia mashaka.....!

UDHAIFU

Intelijensia makini, zisingetumia njia ya ukilza ya kumtocha mtu ili kupata information, mbona kuna suvilience nyingi tu za kumchunguza mtu kupitia simu, ku'plot agent 24/7 kila ulimboka anapoenda ili kujua kilichotakikana kutoka kwake? Agent wengi wa Tiss now days ni (kamlete), kupeana bila kuangalia uwezo ndiyo ina result na unnecessaary tocha na kuacha trace behind ya nani kafanya nini....!

Kibanga msese

Hatuna usalama wa taifa wa kupata information cuz mambo mengi yanajiendea tuu!!!! after all si ni hao hao wanaovujishaga ishu CDM au????
 
LUKOLO, usikataze watu kuhusisha TISS katika mateso aliyofanyiwa Dr. Ulimboka...!

1. Maelezo aliyotoa Dr. Ulimboka, nikuwa; anakumbuka maeneo ya victoria kabla ya kupelekwa kuteswa kwenye hiyo nyumba, na baada ya kuteswa anakumbuka kuyapita maeneo ya mwenge. Hivyo, eneo alilopelekwa kulingana na maelezo yake ni kati ya victoria na mwenge lenye nyumba nzuri, na ambapo eneo hilo baada ya risasi kufyatuliwa hakuna polisi aliyeweza kulisogela. Lukolo, wewe unadhani patakuwa ni wapi?

2. Information alizotakiwa azitoe, jambazi wala kibaka hawezi zihitaji. Hata aliyepoteza ndugu yake fuatia mgomo wa madaktari, hawezi hitaji hizo infor...! Likolo, nani atazihitaji?

3. Ushiriki wa TBC katika ku'ikava hii habari nao unatia mashaka.....!

UDHAIFU

Intelijensia makini, zisingetumia njia ya ukilza ya kumtocha mtu ili kupata information, mbona kuna suvilience nyingi tu za kumchunguza mtu kupitia simu, ku'plot agent 24/7 kila ulimboka anapoenda ili kujua kilichotakikana kutoka kwake? Agent wengi wa Tiss now days ni (kamlete), kupeana bila kuangalia uwezo ndiyo ina result na unnecessaary tocha na kuacha trace behind ya nani kafanya nini....!

Kibanga msese
Usalama wa Taifa ilikuwa zamani enzi ya vita baridi,siku hizi wanapeana tu maadamu ni mtoto wa mjomba.usalama wa Taifa unatakiwa utumie akili ili uunganishe vipande upate kitu kizima,lakini kwa vile wanapeana hata kwenye sekta nyeti kama hii...madhala yake ndio hayo,yaani,nguvu nyingi na akili kidogo na matokeo yake wanashindwa kumshauri rais mambo ya manufaa.Mimi ningekuwa boss wa usalama wa taifa ningewafukuza kazi hao wote waliomteka Dr ulimboka sababu hawakutumia akili katika kupata taarifa za msingi na matokeo yake wameharibu kazi.Hata kama angepewa mwendawazimu kumfuatilia Dr ulimboka asinge tumia mbinu za kitahaira kama hizo kupata habari.Hayo ndio madhara ya kupeana kwenye taasisi nyeti kama hiyo na munamuangusha Rais ambae mimi ninadhani ana nia ya dhati ya kumaliza mgomo huu.Rais JK anaangushwa na watendaji wajinga na wasiojua kazi zao kama hao waliompiga Dr ulimboka.Hakukuwa na haja ya kutumia nguvu kubwa kiasi hicho,walitakiwa watumie akili nyingi na wangejua kila kitu.Dr ulimboka inawezekana anatumiwa yeye mwenyewe bila kujua na hapo inaitajika akili kuunganisha vipande upate kitu kamili na sio mabavu,jamani hii dunia ya sasa ni dunia ya kutumia akili na sio mabavu.Vyombo vya usalama mmetuangusha utazani humo ndani hakuna wasomi...au ndio wale wale wa kununua mitihani na kutoka na first class lakini practical zero.
 
Very sad, kama kweli IKULU ina mkono katika hili ni aibu iliyoje kwa utawala wa baba Mwana-asha..! Shemone Mr. president and your government.

mungu awe pamoja na dr ulimboka kwani mpaka sasa hali aliyonayo ni kwa uwepo wake mola
 
this should be a good lesson to other vimbelembele....lazima mjue nchi haichezewi hovyo hovyo eboo

Sidhani kama serikali kwa kumtesa huyo docta, itaweza kurudisha maisha yaliyopotea kutokana na mgomo huo, solution ni kufanya maboresho katika hospitali na vituo vya afya. Vipo vifo vingi tu vilivyotokea kutokana na kutokuwa na vifaa vya kitabibu mahospitalini, lakini serikali haioni hayo! Na wewe kwa kuwapa support unaonyesha jinsi gani akili yako haina akili na udhaifu wako kwa ujumla! Peleka uzuzu wako kwa mazuzu wenzako!
 
Always my comments on this type of incidents is go back to history and do your homework, as you only live once na kila nafsi itaonja mauti, Ulimboka siku yake ilikua bado na Mungu kaamua kutenda muujiza ili tujue yaliyotendeka sirini, wala sihitaji kuwalaani as hiyo laana iko juu yao na vizazi vyao kama mnabisha muulize Ghadafi
 
Hii kweli na hatari, ila najua wanaharakati wa kudai hakai hawataka kata tamaa!. ILA WANAJAMVI MIMI BADO SIJAPATA JIBU, HAYA YOOTE YANAELEZWA VIZURI KABISA, LAKINI DR. ULIMBOKA HASEMI WALIKUWA WANAZUNGUMZA NINI NA MTU WA KWANZA KABLA HAWAJAJA HAWA WATANO WALIOMBEBA NA KUMPIGA VIBAYA! KUNA KITU HAPA, NA YEYE ATUAMBIE NI MAZUNGUMZO GANI ALIKUWA ANAONGEA NA YULE JAMAA PAMOJA NA DR. MWENZAKA. NAHISI ALIFIKIRI KUNA MLUNGULA ATAKULA PALE. ANYWAY, POLE SANA DR. NA GET WLL SOON!
 
jamii zimeanimishwa kuwa kila jema lazima lije na machungu. Miaka mitatu ijayo hali kwenye hospitali zetu itabadilika na kuboreka sana no matter what government in power
 
Hii kweli ni hatari, ila najua wanaharakati wa kudai hakai hawataka kata tamaa!. ILA WANAJAMVI MIMI BADO SIJAPATA JIBU, HAYA YOOTE YANAELEZWA VIZURI KABISA, LAKINI DR. ULIMBOKA HASEMI WALIKUWA WANAZUNGUMZA NINI NA MTU WA KWANZA KABLA HAWAJAJA HAWA WATANO WALIOMBEBA NA KUMPIGA VIBAYA! KUNA KITU HAPA, NA YEYE ATUAMBIE NI MAZUNGUMZO GANI ALIKUWA ANAONGEA NA YULE JAMAA PAMOJA NA DR. MWENZAKE, "WAKATI TUKIWA KATIKA MAONGEZI YA KWAIDA" NI YEPI HAYO?. NAHISI ALIFIKIRI KUNA MLUNGULA ATAKULA PALE. ANYWAY, POLE SANA DR. NA GET WLL SOON!
 
Kwani mazungumzo na huyo jamaa yalikuwa ni mara ya kwanza? I don't think so...it was a do or die situation for the guy. but everything goes wrong after he survived the ordeal.
 
ah sorry...mimi nimeisoma ile version ndefu...huyo dr mwenzake ndiye alianza kutoa taarifa kwa madaktari /wanaharakati na hatimaye vituo vya polisi...story nilisoma mimi(na maelezo binafsi ya dr ulimboka) inasema walipotokea wale jamaa wenye bunduki waliwaambia kwamba wenyewe wanamuhitaji dr ulimbaka ila wengine wako free ndiyo wakaanza kumburuta na kumuingiza kwenye gari...
Hao sijui TISS, either walikuwa hawana nia ya kumuua, ama ni wajinga kabisa.

Sidhani kama "professional killers" wanafanya makosa kama haya...Yani huyo mwenzake si ni "obvious witness"?

Siwezi kushangazwa na matendo haya kwasababu ndo yamekuwa yakiwapandisha vyeo maofisa, wa kulaumiwa ni ccm tuu.
 
Ndahani,hapa sijakupata.Unasema hivi,

Hawezi kukamatwa. Huyo jasusi aliweza kuonana na Dr.Ulimoboka na kufanya naye mazungumzo kwa kupitia kwa mtoto wa boss . Nani amkate nani sasa? Hii kitu imekaa vibaya kwa reputation ya baadhi ya watu
Na kisha hapa unauliza tena kitu ambacho umetoa jibu hapo juu

Nakubaliana na wewe kabisa. Pengine naye ataweza kueleza vizuri but kama ni yule ninayemfikiria, I doubt kama naye hakuwa kazini kuelezea yaliyokuwa yanaendelea...but the other question ni kuwa nani alimuunganisha Dr. Ulimboka na huyo jamaa wa Ikulu some months back?

Au sijakuelewa?
 
Mkuu huyo "unayemfikiria" ndo yupi na ndo huyo aliyekwenda naye?

Maana inanishangaza sana kwanini hao "TISS" hawakuwa na wasiwasi na huyo aliyemsindikiza ilhali ni shahidi wa wazi kabisa?

Je muda huyo rafiki yake alioripoti tukio hilo ni saa ngapi na maelezo yake yanasemaje?
 
Back
Top Bottom