Hata tukijua (100%) ni serikali imefanya hivyo kuna lolote la kuifanya? nauliza tu.
That shows how pathetic the system is na imejaa vilaza kiasi gani.this should be a good lesson to other vimbelembele....lazima mjue nchi haichezewi hovyo hovyo eboo
hata tukijua (100%) ni serikali imefanya hivyo kuna lolote la kuifanya? Nauliza tu.
Well said mkuu..lkn unategemea nn kama serikali anapokea ushauri toka kwa lusinde, komba, maji marefu, nape, lukuvi, wasira, nagu, kombani werema, kova, chagonja...you name them.Somebody did it to please his boss He ordered ****ing POP OO to do It. But Mungu ni Mkubwa,Magamba 2015 is so near,Tunisia and Iraq or Lybia not too far from Tanzania,chezeni na wadanganyika ila yupo Mungu anae wajari watu wake.Farao was so powerfull,Sadam was so powerfull, Gadafi was so powerfull,Samweli do was so power full alitembezwa na toroli nchi nzima,Gadafi ....... Hawa wote wamekufa vifo vya ajabu na familia zao kupotea mbele ya uso wa dunia,Leo hii MToto wa Nyerere au Mandela anaweza kujitambulisha ata manzese au soweto akapewa geto akalala na msosi akapewa! Je mtoto wa abacha,samweli Dore,sadam,gadafi au Mubarak atatjitaja wapi wampokee? Mungu awape ufaamu wanasiasa wajue kuwa vijisent wanavyojikusanyia ni umauti wao na damu ya watoto wao CCM hoyeeee
Alitekwa na TISS, akapelekwa pale Makumbusho akateswa whole night then akapelekwa Mabwe via MwngVery sad, kama kweli IKULU ina mkono katika hili ni aibu iliyoje kwa utawala wa baba Mwana-asha..! Shemone Mr. president and your government.
this should be a good lesson to other vimbelembele....lazima mjue nchi haichezewi hovyo hovyo eboo
Tungependa kupata waandishi wa habari shujaa watakaoweza kuweka hizi story kwenye magazeti na kwenye redio, ili kila mwananchi ajue serikali ya Kikwete ni serikali ya aina gani. Yafaa pia taarifa kama hii ifikishwe kwenye vyama vya wanaharakati, ili wasiendelee kusema watu wasiojulikana bali waseme moja kwa moja kwamba alitekwa na kuumizwa na serikali, ieleweke moja.