Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,119
- 9,049
Mkuu huyo "unayemfikiria" ndo yupi na ndo huyo aliyekwenda naye?
Maana inanishangaza sana kwanini hao "TISS" hawakuwa na wasiwasi na huyo aliyemsindikiza ilhali ni shahidi wa wazi kabisa?
Je muda huyo rafiki yake alioripoti tukio hilo ni saa ngapi na maelezo yake yanasemaje?
Hili jambo linachanganya kidogo...ila uzoefu unaonyesha si kila mtu mliyenaye kwenye group akawa yuko kwenye upande mliosimamia. So time will reveal more...