LUKOLO, usikataze watu kuhusisha TISS katika mateso aliyofanyiwa Dr. Ulimboka...!
1. Maelezo aliyotoa Dr. Ulimboka, nikuwa; anakumbuka maeneo ya victoria kabla ya kupelekwa kuteswa kwenye hiyo nyumba, na baada ya kuteswa anakumbuka kuyapita maeneo ya mwenge. Hivyo, eneo alilopelekwa kulingana na maelezo yake ni kati ya victoria na mwenge lenye nyumba nzuri, na ambapo eneo hilo baada ya risasi kufyatuliwa hakuna polisi aliyeweza kulisogela. Lukolo, wewe unadhani patakuwa ni wapi?
2. Information alizotakiwa azitoe, jambazi wala kibaka hawezi zihitaji. Hata aliyepoteza ndugu yake fuatia mgomo wa madaktari, hawezi hitaji hizo infor...! Likolo, nani atazihitaji?
3. Ushiriki wa TBC katika ku'ikava hii habari nao unatia mashaka.....!
UDHAIFU
Intelijensia makini, zisingetumia njia ya ukilza ya kumtocha mtu ili kupata information, mbona kuna suvilience nyingi tu za kumchunguza mtu kupitia simu, ku'plot agent 24/7 kila ulimboka anapoenda ili kujua kilichotakikana kutoka kwake? Agent wengi wa Tiss now days ni (kamlete), kupeana bila kuangalia uwezo ndiyo ina result na unnecessaary tocha na kuacha trace behind ya nani kafanya nini....!
Kibanga msese