UHALISIA: Kilichomtokea Dr. Ulimboka mwanzo-mwisho...

UHALISIA: Kilichomtokea Dr. Ulimboka mwanzo-mwisho...

Thanks mkuu, but still "dumbfounded" on "The Fool X"

Niambie kwani kama hao jamaa watano waliokabidhiwa Dr Ulimboka na "The Fool X" kwenye Escudo nyeusi They are all known in all details to the public ... !! Kuanzia siku ile jamaa alivyoshikwa .. Na hakuna hatua yeyote inayochukuliwa dhidi yao ... Zaidi ya michezo ya kuigiza ...Kama wanachi tunafanya nini ...??????!!
 
Aiseee,habari ya huzuni sana mpaka nimelia!

Inahuzunisha lakini lakusjangaza, hivi Dr mzima na kiongozi mwandamizi wa madaktari kwenye kadhia hii anakubali kwenda kumuona mtu anayejiita ni wa ikulu sas sita za usiku tena baa.

Jamani, lets have a break here. Issue nene kama hizi unakwenda kumuona jamaa baa tena usiku huo. Dr. Uli nadhani kumna mengi inabidi atueleze.
 
Hao sijui TISS, either walikuwa hawana nia ya kumuua, ama ni wajinga kabisa.

Sidhani kama "professional killers" wanafanya makosa kama haya...Yani huyo mwenzake si ni "obvious witness"?

Siwezi kushangazwa na matendo haya kwasababu ndo yamekuwa yakiwapandisha vyeo maofisa, wa kulaumiwa ni ccm tuu.


hili la mtu kukuteka na kukutesa huku akionyesha sura yake hakika huyo mtekaji hana nia ya kukuachia uhai wako. dr. ulimboka asiache kumshukuru muumba wake.
 
Jambo moja ama mawili bado hayajaniingia akilini kuhusu sakata hili:
1. Dr. Ulimboka alikwenda Leaders na rafiki daktari mwenzake. Baada ya kuongea na mtu anayedaiwa kuwa ni wa Ikulu, baadae wakatokea watu wengine watano wenye silaha na kusema hawana s hida na hao wengine isipokuwa Ulimhoka. Wakamkokota hadi barabarani.
Shari tayari ilishaonekana. Sasa ni kwanini huyo daktari mwenzake aliyekuwa nae Leaders aliamua kukaa kimya licha ya kwamba mazingira aliyochukuliwa Ulimboka yalikuwa ya shari?! Ilikuwaje Dk Deo apate taarifa asubuhi wakati Ulimboka alikuwa na mwenzake pale Leaders na yeye alikuwa huru?! Kwanini mwenzake huyu hakwenda kutoa taarifa kituo cha polisi au sehemu yoyote ambayo kwao inaaminika na badala yake akaamua kupotezea.

2. Baada ya Dokta Deo kupigiwa simu na kuambiwa kuhusu hali ya Ulimboka, yeye aliamua kukimbilia Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu badala ya kuchukua hatua ya kwenda kumwona Ulimboka na ikiwezekana kunusuru maisha yake kwanza. Nini maana yake hii?!
 
this should be a good lesson to other vimbelembele....lazima mjue nchi haichezewi hovyo hovyo eboo
only a weak goverment can use such babaric acts as means of silencing those who dares to stands for rights of the majority.
 
Hapa tusichanganye na siasa. Wabunge wa upinzani sio swala lao peke yao ni la watu wote hata wasio na chama hata wasiojua siasa. Tukianza kuwapa wapinzani tutakuwa tunadhani Dr. Uli anazungmzia Afya kama mtaji wa siasa. Utakuwa upotoshaji pasipo na sababu.

I second! Thank you Great Thinker!
 
pole sana Dr Ulimboka,Mungu atakuponya,Ninashangaa kuona Jk anasema serikali haiusiki Muogopeni MUNGU Yeye hana usiku wala mchana hana giza wala mwanga hana yasirini wala ya hadharani hana mipaka kwamba mwabepande inabidi Yeye MUNGU atafute passport ya kuangalia yaliyotendeka.HAO WALIOFANYA HAYO KM WAO NI WENYE UWEZO KULIKO ALIYEWAUMBA BASI WAMCHUKUE MUNGU WAFANYIE HAYO WALIOMFANYI DR WAMTUPE MUNGU Mwabepande ndio watakua salama vinginevyo MUNGU SIO DHALIMU ANAJIBU MARA WALA HACHELEWI
 
hili la mtu kukuteka na kukutesa huku akionyesha sura yake hakika huyo mtekaji hana nia ya kukuachia uhai wako. dr. ulimboka asiache kumshukuru muumba wake.
Mkuu hapa tunazungumzia mtekaji ama watekaji?

Swali hapa ni kama hao "watekaji" walikuwa na mission ya kumwua? ama walichemka tu kwenye utekelezaji wa malengo yao?Be it torture or kill?
 

1. Maelezo ya Ulimboka ni kuwa; alikamatwa na kuteswa kwenye jengo kati ya Victoria na Mwenge. Bunduki ikapigwa hewani kumtishia asikimbie, na hakuna polisi waliothubutu kuja eneo hilo kuchunguza mlio wa bunduki. Watu hao walikuwa na bunduki, na walikuwa wanampiga na kitako cha hizo bunduki. Walitaka kujua tu nani wamemtuma au wanashinikiza huo mgomo?

2. Maelezo ya Deo ni kuwa; watu hao watao walikuwa wamevalia nguo kama za kijeshi (ambazo huvaliwa na walinzi ktika mageti ya TISS), na vitara nyeusi isiyo na namba. Niliwapigia watu wa haki za binadamu, tukazunguka vituo vyote vya police usiku ule na Bi. Bisimba, na asbuhi nikapokea simu ya kuhusu Ulimboka.

Swali kwa DEO;
1. Huyo jamaa Abel wa (ikulu) wakati anaongea na Ulimboka na kabla hajachukuliwa na hao watu watano ukilikuwa pamoja nao, milikuwa mnaongelea jambo gani?

2. Kwa siku kadhaa nyuma kabla ya tukio, Abel ali'insist akutane na Dr.Ulimboka ndipo wewe Deo na ulimboka kuamua mumuone ili muweke mambo sawa.
i). Mambo yepi ya kuyaweka sawa kati yenu (Deo na Uli) na ikulu hadi ushawishike mkamwone usiku wote?
ii). Mambo hayo yakuyaweka sawa, umoja wenu wa madaktari ulikuwa unayafahamu?
iii). Namba ya simu ya huyo Abel, mwenizo dr ulimboka hakukuonyesha? Itajwe kama unayo

3. Mliaganaje wewe Deo na Abel baada ya Ulimboka kutekwa? Ulimwacha akaondoka---- kwanini? Kwanini hamkwenda na huyo Abel polisi au Bisimba wote?

4. Dr Ulimboka kaweza kutoa maelezo yoote tangua akamatwe, kuteswa kwake na rai yake kwa madaktari wenzio kabla yakuondoka nje kwa matibabu. Lakini hajatueleza nature ya mazungumzo na huyo Abel, nini walichozungumza mpaka wewe wamemaliza hadi awe anasita kuondoka pamoja na Deo wake?

5. Kama walikuwa wanania ya kumwua kweli, kwanini hawakumchoma hiyo sindano ya sumu au kumgonga na gari kama walivyokuwa wakijadiliana wenyewe, badala yake wakamtupe akiwa hai?

Nukuhu;-
PINDA;... Huyu ulimboka sio mwajirwa na hakumaliza chuo. Amehusika na migomo mingi tangu chuoni....!
Kikwete;.....niliamua wamwache tuendelee naye katika meza ya mazungumzo ijapo hakuwa mwajiriwa wa serikali na kwakuwa madaktari ndiye wanayemwamini.

NB, Au ni onyo na vitisho kwa kwa watu wa aina ya Dr Ulimboka huko mbeleni?

TAFAKARI............

Kibanga Msese
 
Dah! Kuna watu makatili sana,hebu vuta picha..mtu atumie koleo avutane na jino au kucha mpaka alitoe...Hawa ndio wanachukua silaha vituoni na kuwapelekea majambazi wenzao, kwani ni dhahiri hawana na wala hawajui utu ni nini.
 
Dk. Ulimboka alisema tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia Jumatano
katika klabu ya Leaders jijini Dar es Salaam, alikokuwa na wenzake
wawili na ilikuwa baada ya kukaa kwenye baa hiyo kwa muda, alianza
kujisikia vibaya tofauti na siku zingine.


Kwa kuwa hao wenzake wawili waliona kilichoendelea itakuwa busara kama wataisaidia polisi kupata ukweli. Ni vigumu kuingia akilini tukio baya linakufika ukiwa na rafiki zako halafu wasichukuwe hatua yeyote. Nilitarajia baada ya kuona mwenzao amekamatwa tena anapigwa hadharani kabla ya kuingizwa kwenye gari wangeanza kumfuatilia ili kufahamu anakopelekwa. Nadhani kama wangefuatilia mapema wangeweza kuhisa kuwa hali haikuwa salama na kutoa taarifa katika vyombo husika au hata kwa madaktari wengi zaidi ingeweza kuzuia madhara aliyopata bila msaada hadi siku ya pili.

Hadi sasa hatujasikia hao wenzake wawili wakieleza chochote juu ya hili suala ni kwanini?
 
Tuwe waangalifu tunapoandika humu, especially kichwa cha habari. Hebu ona kama hii title, usipokuwa makini unaweza kudhani kuna tukio la kukeketwa.
 
Na huyo Dr Mwenzie alichukua hatua gani mwenzake alipotekwa??
 
Title vingine, mada vingine, what is this??? Bullshit!!!!
 
Mods ondoeni huu uchafu.Heading inadhalilisha jukwaa
 
Dk. Ulimboka alisema
tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia Jumatano
katika klabu ya Leaders jijini Dar es Salaam, alikokuwa na wenzake
wawili na ilikuwa baada ya kukaa kwenye baa hiyo kwa muda, alianza
kujisikia vibaya tofauti na siku zingine.


Kwa kuwa hao wenzake wawili waliona kilichoendelea itakuwa busara kama
wataisaidia polisi kupata ukweli. Ni vigumu kuingia akilini tukio baya
linakufika ukiwa na rafiki zako halafu wasichukuwe hatua yeyote.
Nilitarajia baada ya kuona mwenzao amekamatwa tena anapigwa hadharani
kabla ya kuingizwa kwenye gari wangeanza kumfuatilia ili kufahamu
anakopelekwa. Nadhani kama wangefuatilia mapema wangeweza kuhisa kuwa
hali haikuwa salama na kutoa taarifa katika vyombo husika au hata kwa
madaktari wengi zaidi ingeweza kuzuia madhara aliyopata bila msaada hadi
siku ya pili.

Hadi sasa hatujasikia hao wenzake wawili wakieleza chochote juu ya hili
suala ni kwanini?

Kukeketwa ndio nini kwenye taarifa yako? NONSENSE!
 
polisi imkamate huyo dr. mwezake kwanza. Maana huyo alikuwa na akili timamu na liona huyo mtu wa Ikulu. na ni kwanini huyo mtu wa ikulu hamtaji jina?
 
Dk. Ulimboka alisema tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia Jumatano
katika klabu ya Leaders jijini Dar es Salaam, alikokuwa na wenzake
wawili na ilikuwa baada ya kukaa kwenye baa hiyo kwa muda, alianza
kujisikia vibaya tofauti na siku zingine.


Kwa kuwa hao wenzake wawili waliona kilichoendelea itakuwa busara kama wataisaidia polisi kupata ukweli. Ni vigumu kuingia akilini tukio baya linakufika ukiwa na rafiki zako halafu wasichukuwe hatua yeyote. Nilitarajia baada ya kuona mwenzao amekamatwa tena anapigwa hadharani kabla ya kuingizwa kwenye gari wangeanza kumfuatilia ili kufahamu anakopelekwa. Nadhani kama wangefuatilia mapema wangeweza kuhisa kuwa hali haikuwa salama na kutoa taarifa katika vyombo husika au hata kwa madaktari wengi zaidi ingeweza kuzuia madhara aliyopata bila msaada hadi siku ya pili.

Hadi sasa hatujasikia hao wenzake wawili wakieleza chochote juu ya hili suala ni kwanini?

.... mkuu.. kwanza nikiri kwa dhati ya nafsi yangu kuwa tanzania hatujawahi kuwa na raisi dhaifu kama kikwete...natafakari na kulifikiria tukio zima la kutekwa tabibu ulimboka..bila hiyana wala kupendelea, kushabikia au kuegemea upande wowote, nazidkuwa na shaka kuwa wengi wa wanaofuatilia tukio zima hili wameshajichukulia upande...hawajiulizi maswali ya msingi...rafiki zake aliokuwa nao..aliburutwa barabarani kabla ya kuingizwa kwenye gari pale leaders club(????), alipojaribu kukimbia akatishwa kwa kupigiwa risasi juu( wapi ilikuwa?)...nini kilimsalimisha kuuliwa na watu waliomteka na kumpeleka porini wakiwa na bunduki?...."lkn tukiwa na subira, na bila ya kuegemea upande wowote, ukweli tutaujua"
 
damu yake haiwezi kumwagika hivihiv malipo yao yapo tu hapahapa duniani, baadae kiama.
 
Back
Top Bottom