Mkuu usifanye hvyo,wanafunzi hawana makosa tafuta namna nyingine ya kuleta mgogoro na muajiri wako bila kuathiri wanafunzi make hyo dhambi itakurudia tu.
tatizo ni kwamba what goes round comes round, kuwaambia wanafunzi ukweli kuhusu CCM si vibaya. tatizo ni pale mnapo wanyima elimu ya kutosha na kuwafelisha NECTA, miaka mitano ijayo Chadema na nchi kwa ujumla itakuwa imejaa vijana jinga-pumbaff wasio na mbele wala nyuma,hata nyie wenyewe mtatamani kuikimbia nchi......wapeni hao watoto elimu bora, wafundisheni uzalendo na kuchagua viongozi wazalendo sio mafisadi na wauza unga....wafundisheni umuhimu wa elimu na mwalimu, miaka 10 ijayo hao hao ndio watawatunza na kuwapa nyongeza za mishahara zinazoeleweka
Kama kuna waalimu wababe basi wako Kenya, huku kwetu mtaendelea kuumia tu!!!!
[h=2]Nimeanza kuiadhibu serikali kwa ongezeko hili[/h]Mshahara take home yangu itakuwa 456,000 toka 437,500
nimeazimia kuanzia leo,
1 Naingia kazini sa 4asubuh kutoka sa6asubuh baada ya muda huo naenda kupiga dili zangu mtaani
2 Kazi nitafanya kama ninavyotaka,wala nisione kimtu kinanikoromea
3 Sitalalamikia tena serikali kwani kwa mwezi nitakuwa nafanya kazi kwa masaa 44,amabayo yanaendana na mshahara wangu wa sasa.
Sipati picha nafsi za waalimu mwezi huu zipo kwenye hali zipi, wengi waliamini ule uvumi wa kurushwa daraja lakini kilichoongezeka ni utani mtupu, ukizingatia mbele kuna sikukuu ya iddi, juzi wamelipa kodi za nyumba, mtoto kachaguliwa kidato cha tano anaitaji ghalama za shule na mkopo wa NMB bado mbichi kabisaaaaaaaa......!! naishauri silikali ifute adhabu ya viboko maana kuna baadhi ya walimu watatumia fursa hii kupunguza stress zao.
Bosi wenu hapo kinondoni {Dr Slaa} amewaongezea kiasi gani cha posho per post kutoka kiwango cha sasa cha tsh 300 per post?
Kama kuna waalimu wababe basi wako Kenya, huku kwetu mtaendelea kuumia tu!!!!
tatizo lenu walimu mnakengeuka
Mkuu waache walimu wa msingi wafanye yao na wa sekondari wafanye yao mwisho wa siku div 0 96% SHAME TO KIKWETE.Tai Ngwilizi wanafunz wengi twawapokea wakiwa wameshafeli,,,,
kama nampokea mtoto hajui kusoma wala kuandika,me nna miujiza gani hapo?
Mkuu waache walimu wa msingi wafanye yao na wa sekondari wafanye yao mwisho wa siku div 0 96% SHAME TO KIKWETE.
adui wa nchi hii anatambua anachokitenda, ninaamini pia si mpofu kuona matokeo ya akitendacho, sasa hivi kwanza nahisi anachekelea!
kipi bora kwa mzalendo;
1. kufelisha au
2. kumdhoofisha adui kwa kumuonesha tabasamu?
......Walimu wa tz ubabe wanauonyesha kwenye NECTA,more div 0 to come.
am a teacher,but sioni sababu ya kuhukumu wanafunzi kwani si wao waliotuajiri. Walimu tujifunze kumfahamu "common enemy" of our career.tukishamfahamu basi tuwe na USHUJAA NA UJASIRI wa kupambana nae,na si kumfahamu alf tupeleke hasira na mapambano yetu kwa wanafunzi wasio na hatia. Tunaandaa taifa (vijana) bovu sana.
.....Mpumba.vu hutambuliwa kwa maneno na matendo yake.
mdau Graveyard nipo na gazet la mwananchi hapa kwenye sekta ya kilimo na mifugo kima cha mshahara kimepanda toka Tsh 890,300/= hadi 916,000/= najiuliza hawa wana mastaz????
tatizo ni kwamba what goes round comes round, kuwaambia wanafunzi ukweli kuhusu CCM si vibaya. tatizo ni pale mnapo wanyima elimu ya kutosha na kuwafelisha NECTA, miaka mitano ijayo Chadema na nchi kwa ujumla itakuwa imejaa vijana jinga-pumbaff wasio na mbele wala nyuma,hata nyie wenyewe mtatamani kuikimbia nchi......wapeni hao watoto elimu bora, wafundisheni uzalendo na kuchagua viongozi wazalendo sio mafisadi na wauza unga....wafundisheni umuhimu wa elimu na mwalimu, miaka 10 ijayo hao hao ndio watawatunza na kuwapa nyongeza za mishahara zinazoeleweka
Halafu kuna wajinga wanaleta maneno ya kipuuzi humu ndani,wategemee zero za kumwaga tu!sasa serikali kwa sasa inafanya makosa mawili kwa walim,kwanza mazingira mabovu ya kusomea na kufundishia na mishahara duni kwa walim wakat ukali wa maisha upo 120 km/h