UHAKIKA: Mishara Mipya kwa waalimu

UHAKIKA: Mishara Mipya kwa waalimu

Walimu ccm wanawahitaji wakati wa kusimamia kura tu.....
Jamani walimu shtukeni ........ Semeni imetosha sasa!!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Wadau,Nimetoka benk kuchukua mshahara,nyongeza mpya ya mshahara kwa waalimu wa digiri ngazi ya tgts D1 kwa take home imeongezeka sh 42400/
JIONEE MWENYEWE MAZINGAOMBWE YA JK NA SERIKALI YAKE.

Mmmh,km hali ndo hii mke wangu c atakuwa tegemezi?maana naoa mwl.cku chache zijazo.ngoja nimuulize alizopata km zinatosha kulipa angalau hiyo nyumba anayoishi.lkn nadhani lazima ntamuongeza.
 
Sipati picha nafsi za waalimu mwezi huu zipo kwenye hali zipi, wengi waliamini ule uvumi wa kurushwa daraja lakini kilichoongezeka ni utani mtupu, ukizingatia mbele kuna sikukuu ya iddi, juzi wamelipa kodi za nyumba, mtoto kachaguliwa kidato cha tano anaitaji ghalama za shule na mkopo wa NMB bado mbichi kabisaaaaaaaa......!! naishauri silikali ifute adhabu ya viboko maana kuna baadhi ya walimu watatumia fursa hii kupunguza stress zao.
 
Kama sijakosea makarani wengi wanaosimamia kupiga kura ni walimu. na ni hawa hawa wanajumlishaga zile kura hewa. Hongereni kwa kupata nyongeza.
 
mhh! watoto wetu sijuhi kama watapona na zero make duh!..
 
walimu tuigomee serikali wanafunzi tunawaonea!haiwezekani ugomvi nababa mtu umwadhibu mtoto!nikugoma hamna kung'aa kazini hadi kieleweke...ila kunaviwalimu vindumila kuwili sana hii nchi,kunahaja walimu tuwe nabodi itakayokuwa inatupa lesini za kazi nakusimamia maslahi yetu kama madaktari...nahisi migomo haifanikiwi sabu yamifailure mingi imejazana huku inaogopa itaenda wapi..sahizi huku tupo tulio faulu vizuri bhana,naomba walimu ukitangazwa mgomo tugomeeeeeeeeeeee hadi kieleweke...
 
Kwa nyongeza hiyo hakuna nafuu yoyote ya maisha kwa mwalimu na huo mfumuko wa bei lazima mtumishi atafute njia nyingine ya kujikimu amabayo ni wizi na rushwa
 
Kama Ndo Hivyo Wajiandae Kuwaongezea Max Wanafunzi Necta.......
 
Kazi yenu ni kulalamika..walimu ndio chaka la kuvuna kura la CCM. Komeni, mnavuna mlichopanda. Sisi wengine tunaendelea kutesa na mishahara yetu minono.
 
Kuna jamaa mmoja kaanza kupita nyumba kwa nyumba anawania ubunge CCM. Nikawa na mazungumzonae eti anadai " nyie walimu mnalipwa na CCM kwahiyo acheni uhuni"
 
Kazi yenu ni kulalamika..walimu ndio chaka la kuvuna kura la CCM. Komeni, mnavuna mlichopanda. Sisi wengine tunaendelea kutesa na mishahara yetu minono.

.....Usikute hata mshahara wenyewe hujui unafananaje! alaaah kumbe hata house boy ana mshahara.
 
mkuu, kwa kiwango hicho kama hutaongeza nyumba ndogo nyingine utaishi vizuri. maana kama sikosei hiyo 42400 ni nyongeza ya kile ulichokuwa unapata awali. hongera sana. ila kumbuka kuwakumbuka wazazi wako japo fedha tu ya kusagia, sabuni na mafuta ya taa

Wazazi wake jamaa walipewa juzi mshiko wa kutosha bado hata hawajamaliza. Labda kuanzia miezi mitatu ijayo.
Si unajua uchaguzi ni shamba zuri sana hasa chama fulani kikihisi kimebanwa mbavu, Kinasaidia sana na wazee wengi wanaomba kiendelee kubanwa kwani kimeongeza uwezeshaji toka t-shirt na fedha za sabuni moja hadi .........
 
Bosi wenu hapo kinondoni {Dr Slaa} amewaongezea kiasi gani cha posho per post kutoka kiwango cha sasa cha tsh 300 per post?
mzaha mzaha mkuu na kama si wewe basi mtoto wako na kama si mtoto wako basi mdogo wako na kama si mdogo wako bado ndugu yako na kama si ndugu yako basi mwana jamii wako lakini lazima likuguse hata kwa umbali.kejeli hizi hizi ndizo zinazo endelea kushusha elimu tanzania hii sababu hata mambo ya msingi kwa maendeleo uya taifa mnaingiza UCCM na UCHADEMA.
 
dawa ni kufelisha tu watoto. utafundishaje wakati serikali haikujali? waelezeni wanafunzi kwamba adui wao ni serikali ya c.c.m
 
Wazazi wake jamaa walipewa juzi mshiko wa kutosha bado hata hawajamaliza. Labda kuanzia miezi mitatu ijayo.
Si unajua uchaguzi ni shamba zuri sana hasa chama fulani kikihisi kimebanwa mbavu, Kinasaidia sana na wazee wengi wanaomba kiendelee kubanwa kwani kimeongeza uwezeshaji toka t-shirt na fedha za sabuni moja hadi .........

......Haa ha ha ha ha Stop talking shit unadhani wazee wangu ni kama wako wanaolima tumbaku kule urambo? wanaomuabudu 6 hata wakilambwa vibao wanasema asante mh. usilete kejeli za kiboya kwa mtu usie mjua kung.uru wewe.
 
2015 Hakuna kurudi nyuma, Sema hapana kwa CCM kuanzia diwani, mbunge na Rais
 
[h=2]Nimeanza kuiadhibu serikali kwa ongezeko hili[/h]
Mshahara take home yangu itakuwa 456,000 toka 437,500
nimeazimia kuanzia leo,
1 Naingia kazini sa 4asubuh kutoka sa6asubuh baada ya muda huo naenda kupiga dili zangu mtaani

2 Kazi nitafanya kama ninavyotaka,wala nisione kimtu kinanikoromea

3 Sitalalamikia tena serikali kwani kwa mwezi nitakuwa nafanya kazi kwa masaa 44,amabayo yanaendana na mshahara wangu wa sasa.
 
Back
Top Bottom