UHAKIKA: Mishara Mipya kwa waalimu

UHAKIKA: Mishara Mipya kwa waalimu

......Haa ha ha ha ha Stop talking shit unadhani wazee wangu ni kama wako wanaolima tumbaku kule urambo? wanaomuabudu 6 hata wakilambwa vibao wanasema asante mh. usilete kejeli za kiboya kwa mtu usie mjua kung.uru wewe.

Umenifurahisha sana kungu.ru ulivyojibu. Haaaaaaaaaaaaaaa haaaaaaaaaaaaaaaaaaah.
Nilimjibu vile kwani analeta mzaha katika masuala ambayo hayahitaji mzaha. Hilo ongezeko kwa utitiri wa kodi na kupanda kwa gharama za maisha haitoshi kwa chochote halafu anaongelea mambo mengine?.
Pamoja tutalijenga taifa letu.
 
Umenifurahisha sana kungu.ru ulivyojibu. Haaaaaaaaaaaaaaa haaaaaaaaaaaaaaaaaaah.
Nilimjibu vile kwani analeta mzaha katika masuala ambayo hayahitaji mzaha. Hilo ongezeko kwa utitiri wa kodi na kupanda kwa gharama za maisha haitoshi kwa chochote halafu anaongelea mambo mengine?.
Pamoja tutalijenga taifa letu.

.....Umesomeka mkuu nilikua sijakuelewa,nina hasira sana na wanaotubeza walimu...pamoja sana mkuu More Tiz.
 
Wadau,Nimetoka benk kuchukua mshahara,nyongeza mpya ya mshahara kwa waalimu wa digiri ngazi ya tgts D1 kwa take home imeongezeka sh 42400/
JIONEE MWENYEWE MAZINGAOMBWE YA JK NA SERIKALI YAKE.

mi mwenyewe nimepagawa baaada ya kupiga hesabu na kukuta ongezeko la ngazi yangu baaada ya kupiga panga kilicho chao nabakiwa na tsh elfu 37, kwa sasa hata barua ya kuomba nakala ya hukumu italipiwa haipokelewi bure!
 
Wadau,Nimetoka benk kuchukua mshahara,nyongeza mpya ya mshahara kwa waalimu wa digiri ngazi ya tgts D1 kwa take home imeongezeka sh 42400/
JIONEE MWENYEWE MAZINGAOMBWE YA JK NA SERIKALI YAKE.

mi mwenyewe nimepagawa baaada ya kupiga hesabu na kukuta ongezeko la ngazi yangu baaada ya kupiga panga kilicho chao nabakiwa na tsh elfu 37, kwa sasa hata barua ya kuomba nakala ya hukumu italipiwana kusomewa rulling ni malipo
 
Walimu wa Tanzania hasa vijijini wanadanganywa na CCM na kukubali.Mshahara wako wa mwezi ni posho ya Mbunge kwa siku 2!

Ulitaka walipwe kiasi gani??

Unasahau kwamba matabaka ktk jamii ya kibepari hayakosekani??

Unadhani kwa serikali gani hapa africa mfanyakazi wa serikali anamzidi mshahara mbunge??
 
Wadau,Nimetoka benk kuchukua mshahara,nyongeza mpya ya mshahara kwa waalimu wa digiri ngazi ya tgts D1 kwa take home imeongezeka sh 42400/
JIONEE MWENYEWE MAZINGAOMBWE YA JK NA SERIKALI YAKE.

At least it is something. Something is better than nothing.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Mimi huwa naona pamoja na kupandisha mishahara kiaina walimu ufumbuzi wao utakuwa ni POSHO katikati ya mwezi.
 
Hii vita ya serikali na walimu ni mbaya kuliko vita ya mtutu! Balaa lake lipo kwenye matokeo. Naona watu wanashabikia na kuwaambia walim wafanye kazi kwa moyo. Ina maana mwalim yeye hataki maisha mazuri??
Hivi kwani serikali ikisikiliza walimu kutakuwa na ubaya gani?? Kwa mtazamo wangu, serikali kutokuwasikiliza walimu ina agenda ya siri ambapo wengi hatujaitambua. Possibly imeitelekeza elimu yetu, au kwa kuwa watoto wa vigogo hawasomi shule za serikali, hawaoni umuhimu wa kuhangaika na elimu ambayo haiwasaidii. Mbona wanaendaga kwenye hizi shule watoto wao wanaposoma na kutoa kila wanachoambiwa. Iwe harambee, hela ya safari kwa wanafunzi, hela ya kunyoa, hela ya masomo ya ziada, n.k.
Lakin kwenye public schools hawana time nazo kabisa!!
Walim hawana hata nyumba za kuishi, mshahara taabu tupu, na bado wanaanza kulipia kodi ya line za simu wakati wabunge wana mshahara wa ml 12 na hata kodi hawalipi, hii ni fair kweli?? Nani alipaswa alipe kodi kati ya mwenye mshahara wa ml 12 na mwenye laki 4??
Hii ni laana!!
 
....Ukinicheka shambani nitakucheka sokoni TUKUTANE KWENYE NECTA RESULTS.

Pamoja na hayo, kuwa kama mwalimu wa kina Sarafina kwenye picha ya "Sarafina". Walimu tukubaliane kwa uwazi tofauti na sasa, "
Tuuze sumu kwa wanafunzi"....tuhakikishe tunawajaza sumu wanafunzi wetu kuanzia kindergaten hadi vyuo vikuu waichukie CCM na serikali yake. Waiyone CCM kama kinyesi KIBICHI cha mwanadamu...waione CCM na viongozi wake pamoja na mashabiki wake kama adui wabaya kwa mustakabali wao (wanafunzi na wazazi wao)..wachefuke kila wasikiapo neno CCM kama wanavyochefuka waonapo matapishi ya mbwa koko. ALUTA CONTINUA...Tutashinda..daima ushindi uko kwa wanyonge.HAKUNA KULALAMIKA TENA SASA NI WAKATI WA VITENDO TU.
 
kuzungumza mabaya ya chama tawala sio kulisha sumu. ni kuzungumza yaliyomo.. waseme yaliyopo..waseme uhalisia na nini kifanyike tutengeneze kizaz kijuacho ukweri na chenye zamira ya kudumu ndani ya ukweli.. chenye kupinga mabovu na mianya ya mabovu
 
Hivi kama tunadharauliwa walimu kwa kiwango hicho, tunaiweka serikali ya ccm madarakani ya nini??? Tubadilike!!

....kuna walimu wajinga wajinga wanatuangusha ni waoga kweli kweli nadhani vyeti walivyo navyo ni vya kugushi so wana mashaka na ajira zao.
 
Walimu mtulie chapeni kazi kwa moyo wen wote! si mh.rais aliwaahidi mapesa kibao?adui wa walimu si serikali ni cham chao dhaifu cwt.mkiwalisha watoto wet sumu serikali si ipo itastandadise!
 
Kama kuna waalimu wababe basi wako Kenya, huku kwetu mtaendelea kuumia tu!!!!
 
Nimeiona yangu ka yako,ila bosi wetu hataki masihara extra duty laki4 kila mwezi uhakika.Sasa wafundishe wanafunzi kuichukia serikali na CCM

tatizo ni kwamba what goes round comes round, kuwaambia wanafunzi ukweli kuhusu CCM si vibaya. tatizo ni pale mnapo wanyima elimu ya kutosha na kuwafelisha NECTA, miaka mitano ijayo Chadema na nchi kwa ujumla itakuwa imejaa vijana jinga-pumbaff wasio na mbele wala nyuma,hata nyie wenyewe mtatamani kuikimbia nchi......wapeni hao watoto elimu bora, wafundisheni uzalendo na kuchagua viongozi wazalendo sio mafisadi na wauza unga....wafundisheni umuhimu wa elimu na mwalimu, miaka 10 ijayo hao hao ndio watawatunza na kuwapa nyongeza za mishahara zinazoeleweka
 
Back
Top Bottom