BINARY NO
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 2,155
- 2,171
next time msiwe mnakimbilia kusomea fani ambazo tokea uhuru hadi leo kilio chake hakijawahi kushighurikiwa..ualimu kibongobongo ni fani inayodharaulika sana kias saiv mnapitwa ata na mafelia ya form 4 yanayoenda kwenye majeshi! Dah poleni ila niwashauri wadogo wetu wasikimbilie kwenye ualimu japo ajira zake zipo njenje lakini umasikini wake ni wakudumu...ningependekeza serikali ianzishe bank maalum kwa ajiri ya kutoa mikopo yenye zero interest kwa walimu ili waweze kujenga na kumiliki Vitz nk