Wadau,Nimetoka benk kuchukua mshahara,nyongeza mpya ya mshahara kwa waalimu wa digiri ngazi ya tgts D1 kwa take home imeongezeka sh 42400/
JIONEE MWENYEWE MAZINGAOMBWE YA JK NA SERIKALI YAKE.
Mkuu ndo serikali uliyoichagua!! Ila usijali wewe Fundisha Kadiri Ulipavyo (FUKU)!