Kwanza nianze kwa ku-Declare my interest. Mimi nimemaliza Mwenge University College of Education 2012, Bed (sc). Nimebahatika kupata hizi ajira mpya za serikali.
Rejea hicho kichwa cha habari hapo juu. Mwaka wetu tume-graduate wanachuo 647. But cha kushangaza waliopangiwa vituo vya kazi ni only 91. Swali linakuja hivi.................!
Je, ina maana nchi yetu imejitoshereza na mahitaji ya walimu..? Ina maana mwaka huu serikali yetu haitalalamika tena kuhusu uhaba wa walimu....?
Let us assume 200 out of 647 walikuwa wametokea makazini, then take 447 minus 91 = 356. it means walimu 356 wamechinjiwa baharini.
Hiyo situation cjui kwa vyuo vingine but kwa chuo cha Mwenge hali ndiyo hii.