uhaba wa madawati mashulen!!!!!

millen

Member
May 18, 2011
41
5
hivi ni kwelli serikali ye2 imeshidwa kutatua tatizo kama hili kweli hayo mengine kam umeme yatapata solution?!
kweli 2ache utani inakera sana kuona hadi leo kuna watoto bado wanakaa chini darasani watanzania mwaonaje khs swaala hiliiii!!!
 
Inasikitisha kuona watoto wanasoma wakiwa wamekaa kwenye matofali, mifuko, mabox, nk wakati kuna mwalimu mkuu, kamati ya shule, mratibu wa elimu, wazazi, afisa elimu, mkurugenzi wa halmashauri, mbunge nk. Huu ni upuuzi unaopaswa kukomeshwa. Watanzania tumekosa uwajibikaji kuanzia kwa watu binafsi, familia hadi viongozi wa ngazi za juu. Imefikia muda sasa tumwogope Mungu.
 
Back
Top Bottom