RUKUKU BOY
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 1,467
- 1,669
habari wakuu nimeona vijana wengi waliosomea ualimu wa masomo ya sanaa wakilalamika kwa serikali kuwabagua na kuajiri walimu wa sayansi peke yake, kwa kweli nimewaonea huruma sasa swali tufanyeje? serikali inasema ina Extra ya walimu7000 wa Arts uku mtaani kuna vijana wengi walioitimu ualimu kwa masomo hayo umesubiri hatima yao pia vyuoni kuna rundo la vijana wengi wanaosomea masomo hayo. sasa tufanyeje serikali isitishe udahili wa masomo hayo au iajiri atakama ina walimu waziada au iwasomeshe afu wajitafutie Ajira, karibu tujadiri