Ugwadu! Kiboko ya mchawi

Mshana jr kila kitu anajua huyo kuna mtu au membe mwezetu ameanzisha kukudiss wewe anasema wewe kila kitu unajifanya unajua siasa, uchaw,mpira, mapenzi, sanaa, upelelezi, siasa za kimataifa, Kesi kubwa kubwa kama mauwaji na ufisadi nyingi tu na anasema et unapenda sana kudakia mada
 
Hiyo picha ya nyau mweusi na huyo mtoto imenikosha sana
 
Kama kasema hivyo basi huyo ni mfuatiliaji mzuri wa mada zangu... Alichokosea ni kusema najifanya najua kila kitu.. Hii sio kweli kabisa... Ukweli ni kwamba sijui kila kitu ila najua vitu vingi kumzidi... Vile vile ni uono hafifu na ufinyu wa mawazo kwakuwa jukwaa langu maarufu ni HM na mengine ni ITEL, MMU PICHA na CHITCHAT.. hapo najivinjari na kujiachia vilivyo... Hii ni haki yangu kwakuwa hobby yangu ni kuandika...

Mada nimeiona lakini nikaishia kucheka kwakuwa sikuwahi kudhani kuna watu wanaumia na maandishi yangu ya kila wakati..
Nimeifuatilia mwanzo mwisho imekuwa ni burudani kwangu... NIME ENJOY nimewaona na haters wengine wamepata nafasi ya kutoa nyongo zao.. Whatever the case kumbe mimi ni center ya mjadala ninayeweza kuwafanya watu wazima na akili zao kwa kuongozwa na mpuuzi mmoja wakaacha mambo yao na kunijadili kutwa kucha...
Sijui wewe unasimamia wap[emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144]
Jr[emoji769]
 
Sijawahi kuwa na ithibati kwenye hilo hivyo siwezi kukubali au kukataa
wakati niko mdogo niliambiwa kwenye mazingaombwe ukienda na ndimu imechomwa sindano mwanamazingaombwe hawezi kufanya chochote sijui kama kuna ukweli wowote

Jr[emoji769]
 
Aha ah mimi nimesema tu upande gani nipo nipo mtu akitoa mada mzur nasapot
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…