Tunashukuru kwa hii taarifa rafiki, Mungu ni mwema sana my dear, he will be very fine soon. Msalimu sana baby na shemwapendwa thanks a million. mbarikiwwe sana kw asalamu zenu za upendo kwangu na kwa mwanangu. Namshukuru sana Mungu upasuaji umeenda salam a na mida hii ndo karudishwa wodini ila bado anausingizi. naamin kwa maombi na sala zenu atapona mapema tu.
kafanyiwa upasuaji wa mguu corrective osteomalities(femur). msichoke kuniombea wapendwa wangu.
love you wote.
mwl.
Oyaaa tunauguza mguu huku banaOoh maskini gfsonwin wetuu! Nini mbaya?
LiKaizer lishafanya kwerri nini !
Ktk mambo ya zaigoteshen
Ntakupokea soon sweetlo. cacico kapata pancha mapipa apokwa upendo wa ajabu napenda sana kuwashukuru KakaKiiza pamoja na mzee wetu@mtamabuzi kwa kauja kumwona mtoto baada ya kusoma hili bandiko. kiukweli nimefarijika sana na nimeamin jf ni zaid ya unavyoweza kujua ama kuudhani. barikiweni sana na idumu jf yetu.
cacico mbona sikuon kumleta mumeo Asprin?
haya naendelea kushkilia mkono wenye dripu wajamen baadae.
wapendwa thanks a million. mbarikiwwe sana kw asalamu zenu za upendo kwangu na kwa mwanangu. Namshukuru sana Mungu upasuaji umeenda salam a na mida hii ndo karudishwa wodini ila bado anausingizi. naamin kwa maombi na sala zenu atapona mapema tu.
kafanyiwa upasuaji wa mguu corrective osteomalities(femur). msichoke kuniombea wapendwa wangu.
love you wote.
mwl.
wapendwa thanks a million. mbarikiwwe sana kw asalamu zenu za upendo kwangu na kwa mwanangu. Namshukuru sana Mungu upasuaji umeenda salam a na mida hii ndo karudishwa wodini ila bado anausingizi. naamin kwa maombi na sala zenu atapona mapema tu.
kafanyiwa upasuaji wa mguu corrective osteomalities(femur). msichoke kuniombea wapendwa wangu.
love you wote.
mwl.
ameen!Mtoto apone! We are ol praying for him! Wote tuseme amen!