uguza pole @gfsonwin!

aisee sijui hii ilinipitaje.

Ila kwa karama alizonipa mwenyezi mungu, kwa mimi kuisoma hii post tayari mtoto wetu atakuwa kishapona.

Ahsante mungu kwa upomyaji wako, na pole sana gfsonwin kwa kuuguza.

Yote kheri.
mbona nimekusubiri muda hujaja!! Umeniangusha sana! Haya njoo twende, wameruhusiwa na mtoto sasa, wapo hm!
 
mbona nimekusubiri muda hujaja!! Umeniangusha sana! Haya njoo twende, wameruhusiwa na mtoto sasa, wapo hm!

Si kosa langu. We ndo ulinambia kuna mbwa wakali.

Kumbe washaruhusiwa? Mungu yu mwema.

Hivi waweza niambia tuna nini mimi na wewe?
 
Si kosa langu. We ndo ulinambia kuna mbwa wakali.

Kumbe washaruhusiwa? Mungu yu mwema.

Hivi waweza niambia tuna nini mimi na wewe?
hubby kwema utokako? mi luv u loads!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…