Ugua pole Sweetlady

sweetlady..... I wish ningekuwa karibu nkupikie ndizi mchemsho zileee uzipendazo ukiugua!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Wote tunakuombea hasa hasa mtoto wangu mdogo ambaye huwa mnamnunulia zawadi mkiwa na Filipo
 
Attachments

  • Child.jpg
    18.7 KB · Views: 26
Last edited by a moderator:
sweetlady..... I wish ningekuwa karibu nkupikie ndizi mchemsho zileee uzipendazo ukiugua!!!!!

sweetlady nipo naye nampikia uji...... siyo mambo mengine............. narudia siyo mambo mengine ni kwa ajili ya kumhudumia kumpikia uji kiroho hapa ndo kafika kabisa. nadhani my Lily Flower atakuwa kanielewa
 
Last edited by a moderator:
T

Umejipendekeza kwa sweetylady sasa unajifanya eti unampikia uji,, go to hell
 
Pole sana sweetlady,

Inshallah, utakuwa mzima na tutaonana pwani....!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
I wish safari ya Tanga ingekuwa ni kesho.....tarehe 28 ni mbali sana na hizi stress... Babu Dark City naomba ushauri.. utu uzima dawa.....

Vipi tena mjukuu wangu mpendwa marejesho?

Kimekusibu nini? ......Hebu mweleze vizuri Babu..hawezi kukuacha uteseke...

Ila kama ni usumbufu wa wajukuu akina Arushaone & Co, wambie Babu hataki fujo..

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…