Kama kuna vitu ambavyo huwa vinanitia wazimu kuhusiana na wanawake basi si vingine bali ni lips za wanawake.Sio siri ninapoongea na mwanamke mwenye lips zenye mvuto huwa naingiwa na tamaa ya kama kutaka kumkisi hivi yaani!Ugonjwa wa sex-lip wee acha tu.Kingine ni pale mwanamke anapokaa vibaya kiasi cha kuona kisichotakiwa kuonekana,Sio siri hapo lazima damu zianze kukimbia kwa spidi ya ajabu kiasi cha mapigo ya moyo nayo kuongezeka.Hapo nitapiga jicho mpaka demu ajishtukie.Nouma kweli...!!!???