Ugonjwa wa pumbu erosion

Ugonjwa wa pumbu erosion

Haya maradhi yalitutesa mno kipindi tunasoma secondary
Hadi Leo sijui ulitokana na Nini?

Huo muwasho wake hata kaswende na U T I Sugu hazifiku hata nusu 😃
Nakumbuka mapumbu yalikuwa yanatoa unga mweupe nikiwa natembea.

Kipindi fulani kulikuwa na mashindano ya mpira wa miguu pale shuleni kwetu, isivyobahati mistari inayoonesha mpaka wa uwanja haionekani basi Mimi niliombwa nitembee juu ya mpaka wa uwanja ili ule unga mweupe utokao mapumbuni mwangu uanguke na kufanya mpaka kuonekana.

Kweli nilifanya kama nilivyoamriwa.
 
😂😀😅
 
😂 Hahaha 🤣 Sijawahi kucheka kindezi kama leo tokea mwaka huu uanze .

All in all hii ni chai Jombi
 
Basi bwana p.e ilinikamata nikapewa dawa flani ya maji ya kijani imeandikwa dawa ya mba. Nikaweka kunako p..mb. Wee p..mb nilihisi zinang'oka.. nilivaa shuka na kuweka miguu juu nipgwe na upepo... Kumbuka sana lugoba sekondari
😂😂😂😂😂
 
Hiyo ukimaliza kuoga unajifuta vzuri unapaacha pakavu, usivae nguo ya ndani inayobana ama ambayo ni nyevu nyevu.
 
Back
Top Bottom