Driz de Mafwele
Member
- Dec 7, 2025
- 87
- 265
Wewe siyo mamalia utakuwa reptileMimi ilikuwa inatoka magamba na kuja kama ngozi mpya enzi hizo , mwanzo nikiogopa ila nikazoea nikawa nachuna tu mpaka ikapona bila dawa yeyote
Wewe siyo mamalia utakuwa reptileMimi ilikuwa inatoka magamba na kuja kama ngozi mpya enzi hizo , mwanzo nikiogopa ila nikazoea nikawa nachuna tu mpaka ikapona bila dawa yeyote
Hahahahahaaaaa dogo acha porojo asee.Rinda linakuwasha?🙄
Jamaa wewe punga nini ?Afadhali hiyo, je muasho wa rinda? Ni hatereee asee.
Nimekumbuka jina lingine mtaani tulikuwa tunaita "pumbu jero "Haya maradhi yalitutesa mno kipindi tunasoma secondary
Hadi Leo sijui ulitokana na Nini?
Huo muwasho wake hata kaswende na U T I Sugu hazifiku hata nusu 😃