Nakumbuka nilikuja humu jf na kueleza tatizo langu na mchangiaji mmoja nadhani ni Riwa (sijui kama yupo huyu ndugu, sijamwona siku nyingi) alionesha wasiwasi wake kama kweli ilikuwa bado ULCERS kwa jinsi nilivyotumia dawa mbalimbali
Mkuu Riwa, kwanza nikupongeze kwa kuonesha umahili wako hapa kwa sababu baada ya kwenda kuonana na daktari alionekana kutoshtuka kabisa as if ni mgonjwa mdogo sana. Amenipa dawa ya miezi miwili (opromazole) nirudi mwezi julai.Nadhani tatizo lako kubwa (narudia...nadhani) ni la kisaikolojia kutokana na trauma ya kisaikolojia uliyopata kwa miaka minne (FOUR YEARS!)...si mchezo! Na nadhani hiyo imepelekea tatizo huwa tunaita ' Somatoform Disorder'
Patients with this disorder often become worried about their health because doctors are unable to find a cause for their symptoms. Ni vizuri kupata matibabu ya hayo matatizo mawili yaliyoonekana (japo sidhani kama hiatal hernia yako inahitaji upasuaji), lakini ni vizuri pia ukamuona psuchologist/psychiatrist akuevaluate zaidi. kwani kama ni somatoform, hata ukifanyiwa upasuaji wa hiatal hernia bado utaendelea kujisikia una tatizo la kiafya.