Ugonjwa wa Ngiri (Hernia), Dalili na tiba yake

Mimi ni mwanaume tumbo langu linaniuma upande wa kusho kwa chini na kende la kushoto linauma na kuvima.
 
Hapa kwenye ngiri ya ndani tungehitaji elimu zaidi.Nina mtoto wa miezi mitatu usiku kucha analia,nimeuliza majirani wanasema yaweza kuwa ngiri.Naona.hali inazidi kuwa tete yaani hakuna kulala.
 
kaka kama una matatizo ya ngiri na choo cha mbuzi ni vidonda vya tumbo pia kusinyaa kwa zakaria ni kwa sababu ya ngiri fanya unitafute mwezi huu nikupatie dawa itakayokupa ufumbuzi wa kudumu hakika 0655731345
 
Nina kauvimbe chini ya kitovu kulia kananipa shida nikicheka kanatuna,huwa nakasukuma tu kwa mkono kanarudi,sihisi maumivu naogopa operation.

Je kuna dawa mbadala?
 
ss hvi hyo yakwako sio tatizo kubwa sna maana inarudi lkn eventually utakuja kufanyiwa operation maana complications km strangulation, ischemia au obstruction ( kuziba kwa utumbo hpo kwny tundu la hernia) zinaweza kutokea. woga usikugarimu afya yako mkuu, ukiambiwa operation we piga tu..
 
ss hvi hyo yakwako sio tatizo kubwa sna maana inarudi lkn eventually utakuja kufanyiwa operation maana complications km strangulation, ischemia au obstruction ( kuziba kwa utumbo hpo kwny tundu la hernia) zinaweza kutokea. Woga usikugarimu afya yako mkuu, ukiambiwa operation we piga tu..

asante kwa mchango wako.
 
Aisee sio siri hii kitu nilikuwa naiskia tu kwamba inatokea hasa msimu huu wa mvua... Imenikamata kitu ndo ngiri yenyewe nisaidie wadau dawa yake nini?
 
Nina Hernia karibu na sehemu zangu za siri upande wa kulia, sio siri inaninyima raha japo sipati maumivu sana.
Nashindwaga kucheka, kubeba kitu kizito, kuruka, kucheza, kupanda pikipiki nk.

Naombeni dawa.
 
Hiyo ni inguinal hernia ambayo husababshwa na utumbo kuingia kwenye sehemu inaitwa inguinal ring, ninavyojua hakuna dawa ya kuiondoa na tiba kuu ni UPASUAJI hivyo nakushauri uende hospitali wakarekebishe, ni operation ndogo tu wala usiwaze
 
Back
Top Bottom