Ugonjwa wa Kusahau/Kupoteza Kumbukumbu: Dalili, Tiba na Ushauri wa Kukabiliana na Hali Hii

i don knw niwaeleze vp muelewe.anapoteza kumbukumbu unaweza kumwambia kitu baada ya muda amesahau.
 
AINA SABA ZA MATATIZO YA KUSAHAU

1. Kusahau kwa muda mfupi (Transience)

Hii ni hali ya kusahau habari au matukio fulani yaliyopita. Tatizo hilo humfanya mtu asahau habari ambayo ameipata muda mfupi. Hata hivyo, habari ambayo mtu atakuwa haihitaji kuitumia mara kwa mara ni rahisi kuisahau.
Japokuwa hali ya kusahau mambo kwa muda mfupi inaweza kuonekana kama ni dalili ya udhaifu wa kumbukumbu, wanasayansi wa masuala ya akili huiona hali hiyo kuwa ni ya manufaa kwani huisafisha akili kwa kuondoa kumbukumbu ambazo hazitumiki na kuingiza kumbukumbu mpya na zenye manufaa.

2. Usahaulifu wa kutotilia maanani mambo (Absentmindedness)
Aina hii ya usahaulifu hutokea iwapo mtu hatilii maanani jambo fulani. Mfano, unaweza kusahau ulipoweka kalamu yako kwa sababu hukuweka maanani mahali ulipoiweka. Inawezekana ulikuwa unafikiria kitu kingine wakati unafanya hivyo, au huenda ulikuwa hufikirii chochote ila akili yako haikuchukua kumbukumbu ya tendo ulilolifanya. Usahaulifu huu pia ni pamoja na kusahau kufanya jambo fulani katika muda wake, kama vile kutumia dawa au kwenda kutimiza ahadi.

3. Kutokumbuka mara moja (Blocking)
Mtu anaweza kukuuliza swali ambalo unalifahamu kabisa, lakini ukashindwa kulijibu mara moja kwa kutolikumbuka. Huu huenda ni aina kubwa zaidi ya usahaulifu ambapo akili hushindwa kuifikia kumbukumbu mara moja.
Wanasayansi huamini kwamba usahaulifu huu ni kawaida kulingana na umri wa mtu unavyozidi kuongezeka .
Pia, usahaulifu huu huchangia kwa kiasi kikubwa kwa watu wenye umri mkubwa katika matatizo ya kukumbuka majina ya watu na vitu vingine. Hata hivyo, utafiti umeonesha kwamba watu huweza kunasa nusu ya kumbukumbu zao katika kipindi cha dakika moja.

4. Kumbukumbu potofu (Misattribution)

Kumbukumbu potofu hutokea wakati mtu anapokumbuka sehemu ya jambo kwa usahihi, lakini akakosea maelezo kadhaa kama vile wakati, mahali, au mtu husika. Usahaulifu mwingine wa aina hii ni pale unapoamini kwamba dhana uliyokuwa nayo ni halisi wakati ukweli ni kwamba ilitokana na kusoma mahali au kuisikia kwa watu wengine, lakini ukawa umesahau ukweli huo.
Aina hii ya usahaulifu iko zaidi katika wizi usiokusudiwa wa kazi za sanaa ambapo mwandishi, kwa mfano, anaandika habari fulani akidhani ni ya kwake kumbe aliisoma mahali fulani.
Kuhusiana na matatizo mengine ya kupoteza kumbukumbu, kumbukumbu potofu huendana na umri. Mtu anapozidi kuzeeka anakuwa anaingiza habari chache zaidi kwenye akili yake, kwani akili yake inakuwa haina uwezo wa kudaka habari kwa haraka.

5. Kudaka habari potofu (Suggestibility)
Kudaka habari potofu pia kunaathiri mfumo wa kumbukumbu, ambapo mtu huiweka habari hiyo katika akili yake akifahamu kwamba ni jambo la kweli wakati siyo kama alivyoliona wakati likitokea. Alidanganyika.

6. Kumbukumbu iliyojenga dhana tayari (Bias)
Kumbukumbu ya mtu ambayo tayari imejenga dhana fulani inayotokana na mambo aliyoyaona, imani fulani, mambo ambayo ameyapa mwenyewe kipaumbele, itamletea matatizo.
Dhana ambayo tayari unayo kichwani ni dhahiri itaathiri mawazo yako, hivyo kila ukitaka kukumbuka jambo fulani mawazo yako na dhana zako ni lazima yatatawaliwa na habari ambayo unaikumbuka.
Lakini, pamoja na hali hii, wanasayansi hawajafanya utafiti mkubwa kuhusu dhana aliyo nayo mtu na jinsi inavyoweza kuathiri kumbukumbu zake, pia hawajafahamu vyema iwapo hali hiyo huenda sambamba na umri.

7. Kumbukumbu mbaya (Persistence)

Watu wengi husumbuliwa na tatizo la kusahau mambo kila wakati lakini katika matukio mengine, kuna watu ambao huteseka kwa kuwa na kumbukumbu mbaya ambazo hutaka kuzisahau, lakini wanashindwa.
Kuendelea kwa kumbukumbu mbaya na zenye matukio yasiyopendeza au yenye kuleta hisia mbaya ni moja ya matatizo ya kumbukumbu.
Baadhi ya kumbukumbu hizi huonesha matukio ya kutisha na mengine ambayo huwa ni ya kufikirika na hivyo kuleta hisia mbaya.
Kumbukumbu hizi kwa watu wengi hutokana na matatizo ambayo waliyapata kama vile kudhalilishwa kijinsia au matukio waliyoyapata wakiwa vitani.
 
Mkuu MziziMkavu asante kwa ufafanuzi wa kina. Kati ya hizi zipi hutibika na je kuna za kuzaliwa nazo na hazina tiba?
 
Last edited by a moderator:
Bila shaka wanajamii wote na washika dau wa jamii forum mnaendelea vizuri na kazi zenu za kila siku. Mimi kama mshika dau kwa upande wa afya napenda kuwashirikisha namna ya kuepuka tatizo la kupoteza kumbukumbu kwa kutumia bidhaa za afya kama zilivyoelezwa hapo chini. Fuatilia maelezo yafuatayo:

CORDY ROYAL JELLY
Bidhaa hii imetokana na mmea wa cordy ceps sinensis na Royal jelly. Royal jelly Inatokana na chakula maalum cha malkia wa nyuki.
FAIDA ZA CORDY ROYAL JELLY
  • Ina vitamin A,B,C,D,E na K ni chakula kilichokamilika.
  • Inaondoa cholesterol
  • Inaimarisha mfumo wa damu mwilini.
  • Ina faty Acid
  • Inaongeza nguvu na kutoa uchovu na kutoa sumu mwilini
  • Inakufanya usizeeke haraka(anti aging)
  • Kulainisha ngozi na kufanya ngozi kuwa nzuri
  • Inafanya damu kuwa nyepesi
  • Inaimarisha usafirishaji wa damu mwilini
  • Kuweka kiwango cha mafuta na cholesterol sawa.
  • Mafuta yaliyoganda kuzunguka moyo na kwenye mishipa ya damu huyeyusha na kulainisha mishipa ya damu.
CORDY ACTIVE
Bidhaa hii imetokana na mmea wa cordy ceps, sinensis. Mmea huu unapatikana Asia Mashariki uko kwenye familia ya kutumia mizizi na uyoga. Kinatumika kiini chake kinachoitwa cordy cepine.
FAIDA ZA CORDY ACTIVE
  • Huimarisha kinga ya mwili. Uchunguzi unaonyesha kuwa bidhaa hii ina kila kitu tunachohitaji mwilini(vitamin,wanga,protini,madini nk)
  • Huondoa matatizo yote kwenye mfumo wa hewa(upumuaji).
  • Huponya pumu, dyspnea, allergy, homa ya mafua
  • Kuondoa msongo wa mawazo na uchovu mwilini.
  • Kuondoa matatizo ya figo, moyo kutanuka.
  • Matatizo ya uvimbe, kuzuia kansa kuenea mwilini
CA + FE + ZI PLUS
  • CA Madini ya Chokaa
  • FE Madini ya Chuma
  • ZI Madini ya Zinki
FAIDA ZA MADINI YA CHOKAA
  • 5% ni uzito wa mwili wa binadamu na ni 2% ya uzito wa binadamu ni madini ya chokaa.
  • Madini ya chokaa yanaimarisha mfumo wa kinga mwilini
  • Madini haya yanasaidia utendaji wa kazi mwilini
  • Madini ckokaa yanaimarisha mishipa ya hisia na ubongo
  • Madini chokaa yanasaidia kugandisha damu mtu anapopata majeraha
FAIDA ZA MADINI CHUMA
  • Hutumika kutengeneza damu hasa Red blood cells ambazo husafirisha oxygen
  • Huimarisha mfumo wa mishipa ya hisia mwilini
  • Huongeza uwezo wa kufikiria na nguvu ya ubongo kwa binadamu
  • Huongeza nguvu mwilini
FAIDA ZA MADINI YA ZINKI
  • Inaimarisha mfumo wa uzazi kwa wanaume
  • Inaimarisha milango ya fahamu
  • Kutibu vidonda vya ndani na nje wa binadamu
  • Inatunza ngozi na kulinda ngozi na nywele
  • Inaondoa matatizo ya macho
 
1. Kusahau kwa muda mfupi (Transience)
Hii ni hali ya kusahau habari au matukio fulani yaliyopita. Tatizo hilo humfanya mtu asahau habari ambayo ameipata muda mfupi. Hata hivyo, habari ambayo mtu atakuwa haihitaji kuitumia mara kwa mara ni rahisi kuisahau.
Japokuwa hali ya kusahau mambo kwa muda mfupi inaweza kuonekana kama ni dalili ya udhaifu wa kumbukumbu, wanasayansi wa masuala ya akili huiona hali hiyo kuwa ni ya manufaa kwani huisafisha akili kwa kuondoa kumbukumbu ambazo hazitumiki na kuingiza kumbukumbu mpya na zenye manufaa.

2. Usahaulifu wa kutotilia maanani mambo (Absentmindedness)
Aina hii ya usahaulifu hutokea iwapo mtu hatilii maanani jambo fulani. Mfano, unaweza kusahau ulipoweka kalamu yako kwa sababu hukuweka maanani mahali ulipoiweka. Inawezekana ulikuwa unafikiria kitu kingine wakati unafanya hivyo, au huenda ulikuwa hufikirii chochote ila akili yako haikuchukua kumbukumbu ya tendo ulilolifanya. Usahaulifu huu pia ni pamoja na kusahau kufanya jambo fulani katika muda wake, kama vile kutumia dawa au kwenda kutimiza ahadi.

3. Kutokumbuka mara moja (Blocking)
Mtu anaweza kukuuliza swali ambalo unalifahamu kabisa, lakini ukashindwa kulijibu mara moja kwa kutolikumbuka. Huu huenda ni aina kubwa zaidi ya usahaulifu ambapo akili hushindwa kuifikia kumbukumbu mara moja.
Wanasayansi huamini kwamba usahaulifu huu ni kawaida kulingana na umri wa mtu unavyozidi kuongezeka .
Pia, usahaulifu huu huchangia kwa kiasi kikubwa kwa watu wenye umri mkubwa katika matatizo ya kukumbuka majina ya watu na vitu vingine. Hata hivyo, utafiti umeonesha kwamba watu huweza kunasa nusu ya kumbukumbu zao katika kipindi cha dakika moja.

4. Kumbukumbu potofu (Misattribution)
Kumbukumbu potofu hutokea wakati mtu anapokumbuka sehemu ya jambo kwa usahihi, lakini akakosea maelezo kadhaa kama vile wakati, mahali, au mtu husika. Usahaulifu mwingine wa aina hii ni pale unapoamini kwamba dhana uliyokuwa nayo ni halisi wakati ukweli ni kwamba ilitokana na kusoma mahali au kuisikia kwa watu wengine, lakini ukawa umesahau ukweli huo.

Aina hii ya usahaulifu iko zaidi katika wizi usiokusudiwa wa kazi za sanaa ambapo mwandishi, kwa mfano, anaandika habari fulani akidhani ni ya kwake kumbe aliisoma mahali fulani.
Kuhusiana na matatizo mengine ya kupoteza kumbukumbu, kumbukumbu potofu huendana na umri. Mtu anapozidi kuzeeka anakuwa anaingiza habari chache zaidi kwenye akili yake, kwani akili yake inakuwa haina uwezo wa kudaka habari kwa haraka.

5. Kudaka habari potofu (Suggestibility)
Kudaka habari potofu pia kunaathiri mfumo wa kumbukumbu, ambapo mtu huiweka habari hiyo katika akili yake akifahamu kwamba ni jambo la kweli wakati siyo kama alivyoliona wakati likitokea. Alidanganyika.

6. Kumbukumbu iliyojenga dhana tayari (Bias)
Kumbukumbu ya mtu ambayo tayari imejenga dhana fulani inayotokana na mambo aliyoyaona, imani fulani, mambo ambayo ameyapa mwenyewe kipaumbele, itamletea matatizo.
Dhana ambayo tayari unayo kichwani ni dhahiri itaathiri mawazo yako, hivyo kila ukitaka kukumbuka jambo fulani mawazo yako na dhana zako ni lazima yatatawaliwa na habari ambayo unaikumbuka.
Lakini, pamoja na hali hii, wanasayansi hawajafanya utafiti mkubwa kuhusu dhana aliyo nayo mtu na jinsi inavyoweza kuathiri kumbukumbu zake, pia hawajafahamu vyema iwapo hali hiyo huenda sambamba na umri.

7. Kumbukumbu mbaya (Persistence)
Watu wengi husumbuliwa na tatizo la kusahau mambo kila wakati lakini katika matukio mengine, kuna watu ambao huteseka kwa kuwa na kumbukumbu mbaya ambazo hutaka kuzisahau, lakini wanashindwa.
Kuendelea kwa kumbukumbu mbaya na zenye matukio yasiyopendeza au yenye kuleta hisia mbaya ni moja ya matatizo ya kumbukumbu.
Baadhi ya kumbukumbu hizi huonesha matukio ya kutisha na mengine ambayo huwa ni ya kufikirika na hivyo kuleta hisia mbaya.
Kumbukumbu hizi kwa watu wengi hutokana na matatizo ambayo waliyapata kama vile kudhalilishwa kijinsia au matukio waliyoyapata wakiwa vitani.
 
MziziMkavu matumizi yasiyo na mpaka ya vyakula vyenye kusheheni lehemu, chumvi na sukari husababisha ubopngo kufurika mafuta na hivyo kujongeza athari tajwa. Mazoezi na kuwa na tabia ya kujiendeleza kielimu kunapunguza usahaulifu "use it or lose it"
 
Rutashubanyuma sasa sijui turudi kula mizizi na mboga ambazo hazijapikwa maana kila kitu siku hizi ukigusa unasikia kina madhara
Mbona watu walikula miaka hiyo hayo madhara hayakuonekana au ni hizi genetic na mbegu za maabara ndo zinafanya kila kitu kuwa ovyo mkuu
 
Mr Rocky ujanja nikula kwa kiasi kwa sababu na huu uchangudoa wa "pisha mgeni awekeze" tumeishia kuchafuliwa hata vyanzo vya maji, now there is no place to hide for a goldfish.
 
Habar wakuu jf,

Kila kukicha naona kama kumbukumbu zangu zinapotea, na nakosa umakini na nnachokifanya! Yaan inabidi niwe makini sana ndo nikumbuke nilichofanya, naomba mwenye dawa,au mlo wa kuzingatia amwage hapa.
 
Kula ngona yasiyo kobolewa kwa sana hata kwenye uji wa lishe. Na hakikisha unakunywa maji ya vuguvugu kila jioni nahasubuhi yaliyo chemshwa na majani ya mkaratusi au eucalyptus tree ipo Bongo tele.
 
Back
Top Bottom