Ugonjwa wa kununa na kususa kwa wanawake...

Umefanya mistake,ulitakiwa na wewe umbebee kileo akichape vema usiku huo akiamka asubuhi anakuwa amesahau maana wote mnakuwa na hangover.hapo sasa kila mtu atakuwa anawaza kuzimua au kupata supu.
hanywi,nimem frustrate mpaka ameokoka.
 
Mbu kuna kununa kawaida na kuna kununa tabia, huyu ambaye siye kawaida yake unaweza kubembeleza,ila huyu wa tabia inabidi uwe makini sana, maana mwingine atakufanya poyoyo,atatumia kununa kama silaha ya kukufanya wewe uwe humble kwake na akikustukia u mwepezi wa kuwa hambled atatumia mwanya huo kuadmit matakwa yake. Kwa wanandoa wanalifahamu sana hili. hapo ndio huwa inahitajika misimamo kwa mambo mengine hata mwanamke anune vipi.

Sasa unaona kazi/ugumu/ubaya gani kuwa mnyenyekevu(humble) kwa mwenzi wako? Ndivyo inavyotakiwa iwe mara nyingi na sio akinuna pekee. Mdekeze mwenzio usisubiri hata hicho tu usaidiwe.
 
sogea basi karibu.

Nimeshakwambia naogopa maneno ya walimwengu. Maana wakikuona unawahi kurudi nyumbani wataanza kuongea 'ohhh kashampa limbwata jamaa wa watu' kumbe jamaa wa watu anawahi kupokelewa kwa mbwembwe, avuliwe mpaka viatu na kusindikizwa bafuni kabla ya kupewa msosi wa maana.
 
Hiki kiti kinaniudhi na bahati mbaya zaidi naamini kila mwanamke anacho.....

ni huu ugonjwa wa kununa na kususa kwa jambo doogo.....

mtu unaweza kununiwa hata mwezi mzima,mpaka ukahisi
labda love ishakufa na sasa ufanye 'maamuzi' mengine.....kumbe makusudi tu

unakuja kumuuliza utasikia 'ahhh unajua siku ile iuliniita mjinga uliniuudhi sana'...

na hapo anaezungumza hivyo sio mtoto mdogo ni mama wa watoto na wajukuu...

swali ninaouliza hapa hivi kuna wanawake ambao hawanuni wala kususa?

na why mwanamke hata awe above 50 na wajukuu na phd juu
bado still huu ugonjwa wa kununa nuna na kususa hawaauachi????

tena mara nyingi mwanaume unakuwa hujui haswaa umenuniwa kwa sababu gani...

si ajabu ukiuuliza unaambiwa 'aah hamna kitu',while mtu hayuko sawa...

kwa nini wanawake wako hivi????
Bila ya nia ya kuwajumuisha wanaawake wote katika kapu moja la "wanunaji", ukweli ni kuwa asilimia kubwa wako hivyo. Lakini kama walivyosema wengine, mtu hanuni tu ovyo ovyo bila ya kuwa na sababu ya msingi. Hata ukiona umenuniwa, iwe kwa muda mfupi au mrefu, ujue kuna jambo au tabia unafanya/umefanya na kununa ni njia moja ya kuvuta hadhira yako kuwa kuna kitu hakiko sawa. Pengine njia nzuri zaidi ingekuwa kuelezana ukweli hapo hapo, lakini tukubali kuwa wanaume wengi au tuseme hata baadhi yao, ni "wakoloni" katika mahusiano, kila wanalosema/wanalofanya limeenda shule na kupingwa, kushauriwa au hata kuulizwa hawataki.

Hii mada ilishaletwa hapa tena na mwanamke na watu wakachangia vya kutosha. Tujikumbushe: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/138655-wanawake-na-kununa-kususa.html
 
Sasa unaona kazi/ugumu/ubaya gani kuwa mnyenyekevu(humble) kwa mwenzi wako? Ndivyo inavyotakiwa iwe mara nyingi na sio akinuna pekee. Mdekeze mwenzio usisubiri hata hicho tu usaidiwe.

Saikolojia ya mwanamke ni undefined. Hivyo inapasa kuangalia mambo mengi yanayohusiana na kununa kwake.
 
Bishanga kiukweli nna pande zote mbili. .
Mhusika mwenyewe ndie anaechagua upande upi aonyeshwe.

na mimi nina sura mbili ,ya uaminifu na ya cheating,inshallah tukioana you stick na ya upole i stick na ya uadilifu,as long as both tutakubaliana katika hilo ndoa itadumu!
 
Wanawake wa hivyo ni wale wanaopenda kukaa na vinyongo rohoni. Ni watu ambao hawana ujasiri wa kuongea wanapokwazika. Halafu huwa hawanunii wapenzi wao tu, unaweza ukakuta hadi marafiki wananuniwa. Tabu sana kuishi na mtu wa hivyo.
 
na mimi nina sura mbili ,ya uaminifu na ya cheating,inshallah tukioana you stick na ya upole i stick na ya uadilifu,as long as both tutakubaliana katika hilo ndoa itadumu!

Hehehehe. . . Kaaazi kweli kweli.
 
Mbu kuna kununa kawaida na kuna kununa tabia, huyu ambaye siye kawaida yake unaweza kubembeleza,ila huyu wa tabia inabidi uwe makini sana, maana mwingine atakufanya poyoyo,atatumia kununa kama silaha ya kukufanya wewe uwe humble kwake na akikustukia u mwepezi wa kuwa hambled atatumia mwanya huo kuadmit matakwa yake. Kwa wanandoa wanalifahamu sana hili. hapo ndio huwa inahitajika misimamo kwa mambo mengine hata mwanamke anune vipi.

haswaa
 
Wanawake wa hivyo ni wale wanaopenda kukaa na vinyongo rohoni. Ni watu ambao hawana ujasiri wa kuongea wanapokwazika. Halafu huwa hawanunii wapenzi wao tu, unaweza ukakuta hadi marafiki wananuniwa. Tabu sana kuishi na mtu wa hivyo.

Njoo hapa kaunta ya juu uchukue mkono wa pongezi
 
Wanawake wa hivyo ni wale wanaopenda kukaa na vinyongo rohoni. Ni watu ambao hawana ujasiri wa kuongea wanapokwazika. Halafu huwa hawanunii wapenzi wao tu, unaweza ukakuta hadi marafiki wananuniwa. Tabu sana kuishi na mtu wa hivyo.

kwa mara ya kwanza leo umeongea kitu umenigusa....
 
Back
Top Bottom