Papason, habari, hupaswi kuwa na wasiwasi na tiba yangu, hii tiba imethibitishwa na mamlaka husika za nchi ya Tanzania na kimataifa pia......na ninaomba kukuhakikishia kuwa tiba zetu hizi zinatibu matatizo hayo, na sio kutuliza,....natumai utakuwa umenielewa papason...
Babu wa Loliondo weye!!! ......
.mh