Ugonjwa wa kiharusi/ kupooza (stroke): Kinga, tiba na jinsi ya kukabiliana na maradhi haya

you always tiptoe, keep it up!!!
It is not tiptoeing. It is a matter of convictions and telling the truth. Huwezi kuuza vitu ambavyo haviko backed up na science halafu unaaminisha watu kwamba eti ni tiba nami nikae kimya. Kwa anayejua stroke maana yake nini hawezi hata kuamini kwamba kuna tiba. Kule Marekani wanakazania tu brain exercises ili kuzifanya neurons zilizo jirani na zilizouliwa na stroke ziweze kujenga synapses mpya na hatimaye kuweza ku-compensate kazi ya zile zilizoharibiwa. Na hata hapa wanakwambia sasa ni improvement tu lakini siyo kupona kabisa.

Sasa wewe na diet supplements hizi upo hapa unatia watu matumaini ya uwongo tu. Siyo haki na kwangu mimi ni sawa na utapeli tu. On top of that hata huyo anayetengeneza hizo supplements zako hakuna mtu anayejua quality control yake na unaweza kukuta hata active ingredients za producs zenyewe hazimo au zimo kidogo sana. USA juzi juzi hapa kampuni moja lilikuwa linauza supplement ya hiyo G. Biloba watu kuja kushtuka kumbe haya hiyo Biloba haimo kabisa katika vidonge vyao.

Hebu angalia study mojawapo nzuri kuhusu hiyo Gingko Biloba yako HAPA

Kama unataka zingine kuhusu hizo supplements zako sema nikupe tena kutoka kwenye reputable peer reviewed scientific journals.​
 
Asanteni sana kwa maoni na ushauri wenyu, kwa kuweza kunipa moyo na kufurahi kuwa mwanafamilia wenu.....

STROKE TREATMENTS
1. Magic Detoxin pad....inafanya kazi zifuatazo katika mwili,

> Pumps out toxins and wastes from a cupoints .
> alleviates pains and strains skin, muscles and joints

2. Deep sea fish oil softjel.
inafanya kazi zifuatazo

>. Lowers the amount of lipids (fats such as cholesterol and triglycerides ) circulating in the bloodstream.
>. Reduces inflammation throughout the body.
>. Decreases platelet aggregation, prevents excessive blood clotting.
>. Inhibits thickening of the arteries, dilates and relaxes arteries.

3. Ginkgo biloba capsule
Inafanya kazi zifuatazo
>. Scavenges free radicals and counteracts age related damages organs and tissues.
>. Increases oxygen supply to brain tissue thus enhance memory.
>. Prevents age related macular degeneration.
>. Prevents or releves symptoms of intermittent claudication.
4. Super CoQ 10.
inafanya kazi zifuatazo
>. Improves metabolism of cells of body, especially myocardial cells and nerve cells.
>. Improves immunity.
>. Antioxidants which prevent and alleviate degenerative cardiovascular and cerebro vascular and diseases.
>. Improves stamina and general well-being of human body.

HIZI DAWA UKIZIPATA, LAZIMA UPONE NA UTAPONA KABISA, NAWAKARIBISHA WOTE.
BEI ZA HIZO DAWA KAMA WENGI MULIVYO OMBA HIZI HAPA.
1. Magic detoxin pad ni, 61000/=.
2. Deep sea fish oil softgel ni, 83000/=.
3. Ginkgo bibola capsule, 70000/=.
4. Super CoQ 10 ni, 84000/=

Asanteni sana wapendwa, karibuni ili tuweke sawa afya zetu vizuri na kuweza kupambana na shughuli zetu za maisha......tunatibu maradhi mengi pia na yanaponyeka kabisa.
kwa mawasiliano zaidi piga namba hizi, 0654158574/0765353056/0684974811
KARIBUNI SANA:
 
Kaka wasaidie watanzania kuwaepusha na utapeli kama huu, nimefurahishwa na majibu yako, huyu jamaa inaonyesha ni dizaini ya kina dr Ndodi
 
Safi sana mku,
Hongera mkuu, nafikiri lengo la haya makampuni (Greenworld,Forever, GNLD etc) ni biashara japoyamefunika lugha tamu tamu ndani yake. Sina tatizo kabisa na biashara mimi ninatatizwa na kumuhakikishia mtu kuwa atapona as if hizo supplement ni clinicallyproven. Anasema zimethibitishwa , je nanani? TFDA au FDA? Ni heri zitangazwe kuwa zinasaidia kurejehavitamin na madini mwilini sawia na ulaji wa kawaida wa vyakula.
 
Asante mkuu. Hawa jamaa ni biashara tu na wanakosea sana wanaposema kwamba eti hizi supplements ni tiba wakati hapo hapo kwenye kopo/chupa yao inasema "This product has not been proved to cure any disease and is not intended as a cure" Eti kweli mtu unywe supplement ya juice tu halafu upone stroke. Na kwa sisi masikini watu wetu wasivyojielewa utakuta kweli wamekazana kufakamia hizi supplements wakidhani kuwa ni tiba. Kumbe mtu angeweza kubadili life style tu mf. Kufanya vimazoezi vya hapa na pale consistently, kubadilisha ulaji na kuacha tabia hatarishi kama kunywa pombe kupindukia na kuvuta sigara kunazuia magonjwa mengi tu na hakuna hata haja ya kufakamia haya ma supplements ya bei mbaya kutoka Marekani, India na China.

Mimi kwa mfano kuna kipindi nilikuwa mnene sana na daktari akaniambia presha yangu ilikuwa juu na huenda ningehitaji dawa. Bad cholesterol ndo ilikuwa balaa. Daktari akakazana wee aniandikie haya mavidonge yao ya statins yanayoharibu ini na hata kusababisha diabetes. Nikamwambia anipe three months. Basi nilianza kutembea 30 minutes everyday nachanganya na kimchaka mchaka kidogo, nikaacha bia kabisa completely na nikaanza kuwa natengeneza juice zangu mwenyewe. Nanunua maembe ya kutoka Morogoro, mapeas ya Tanga na matunda mengine basi natengeneza juisi safi nakunywa kila siku asubuhi na jioni. Yaani hali yangu ilibadilika sana na kuchoka choka kukaisha nikaanza mazoezi ya kunyanyua vitu vizito. Miezi mitatu nimeenda kwa daktari mwenyewe anashangaa. Cholesterol imeshuka na presha iko sawa kabisa. Mpaka leo ndiyo zangu hizo na nakutana na watu wanasema we bwana vipi mbona mwenzetu unarudi ujana. Tupe siri. Nawaambia kwamba siri ni kunywa juisi ya matunda yetu haya organic, maji safi na salama kwa wingi, kuacha pombe na kufanya mazoezi kila siku.

Kama ulivyosema, baadhi ya supplements hizi zinafaa kama virutubisho tu vya kuongeza vitamini na madini mwilini na KAMWE zisitangazwe kama tiba hata kama kuna placebo effects inayoonyesha kuwa baadhi ya wagonjwa wanapata nafuu na hata kupona kabisa. Hata kwenye kikombe cha Babu wa Samunge kuna wengi waliapa kuwa wamepona UKIMWI mpaka wakaacha kabisa kutumia dawa zao za hospitalini na leo hii wengine wameshaRIP. Tuendelee kuelimishana!
 
Asanteni sana kwa maoni na ushauri wenyu, kwa kuweza kunipa moyo na kufurahi kuwa mwanafamilia wenu.....

STROKE TREATMENTS
1. Magic Detoxin pad....inafanya kazi zifuatazo katika mwili,

> Pumps out toxins and wastes from a cupoints .
> alleviates pains and strains skin, muscles and joints

2. Deep sea fish oil softjel.
inafanya kazi zifuatazo

>. Lowers the amount of lipids (fats such as cholesterol and triglycerides ) circulating in the bloodstream.
>. Reduces inflammation throughout the body.
>. Decreases platelet aggregation, prevents excessive blood clotting.
>. Inhibits thickening of the arteries, dilates and relaxes arteries.

3. Ginkgo biloba capsule
Inafanya kazi zifuatazo
>. Scavenges free radicals and counteracts age related damages organs and tissues.
>. Increases oxygen supply to brain tissue thus enhance memory.
>. Prevents age related macular degeneration.
>. Prevents or releves symptoms of intermittent claudication.
4. Super CoQ 10.
inafanya kazi zifuatazo
>. Improves metabolism of cells of body, especially myocardial cells and nerve cells.
>. Improves immunity.
>. Antioxidants which prevent and alleviate degenerative cardiovascular and cerebro vascular and diseases.
>. Improves stamina and general well-being of human body.

HIZI DAWA UKIZIPATA, LAZIMA UPONE NA UTAPONA KABISA, NAWAKARIBISHA WOTE.
BEI ZA HIZO DAWA KAMA WENGI MULIVYO OMBA HIZI HAPA.
1. Magic detoxin pad ni, 61000/=.
2. Deep sea fish oil softgel ni, 83000/=.
3. Ginkgo bibola capsule, 70000/=.
4. Super CoQ 10 ni, 84000/=

Asanteni sana wapendwa, karibuni ili tuweke sawa afya zetu vizuri na kuweza kupambana na shughuli zetu za maisha......tunatibu maradhi mengi pia na yanaponyeka kabisa.
kwa mawasiliano zaidi piga namba hizi, 0654158574

Asanteni sana kwa maoni na ushauri wenyu, kwa kuweza kunipa moyo na kufurahi kuwa mwanafamilia wenu.....<br /><br />STROKE TREATMENTS <br />1. Magic Detoxin pad....inafanya kazi zifuatazo katika mwili, <br /><br />&gt; Pumps out toxins and wastes from a cupoints .<br />&gt; alleviates pains and strains skin, muscles and joints <br /><br />2. Deep sea fish oil softjel.<br />inafanya kazi zifuatazo <br /><br />&gt;. Lowers the amount of lipids (fats such as cholesterol and triglycerides ) circulating in the bloodstream.<br />&gt;. Reduces inflammation throughout the body.<br />&gt;. Decreases platelet aggregation, prevents excessive blood clotting.<br />&gt;. Inhibits thickening of the arteries, dilates and relaxes arteries.<br /><br />3. Ginkgo biloba capsule <br />Inafanya kazi zifuatazo <br />&gt;. Scavenges free radicals and counteracts age related damages organs and tissues.<br />&gt;. Increases oxygen supply to brain tissue thus enhance memory.<br />&gt;. Prevents age related macular degeneration.<br />&gt;. Prevents or releves symptoms of intermittent claudication.<br />4. Super CoQ 10.<br />inafanya kazi zifuatazo <br />&gt;. Improves metabolism of cells of body, especially myocardial cells and nerve cells.<br />&gt;. Improves immunity.<br />&gt;. Antioxidants which prevent and alleviate degenerative cardiovascular and cerebro vascular and diseases.<br />&gt;. Improves stamina and general well-being of human body.<br /><br /><br /><br /><br /><br />HIZI DAWA UKIZIPATA, LAZIMA UPONE NA UTAPONA KABISA, NAWAKARIBISHA WOTE.<br />BEI ZA HIZO DAWA KAMA WENGI MULIVYO OMBA HIZI HAPA.<br />1. Magic detoxin pad ni, 61000/=.<br />2. Deep sea fish oil softgel ni, 83000/=.<br />3. Ginkgo bibola capsule, 70000/=.<br />4. Super CoQ 10 ni, 84000/=<br /><br /><br />Asanteni sana wapendwa, karibuni ili tuweke sawa afya zetu vizuri na kuweza kupambana na shughuli zetu za maisha......tunatibu maradhi mengi pia na yanaponyeka kabisa.
kwa mawasiliano zaidi piga namba hizi, 0654158574.
KARIBUNI SANA:
 
Habari wapendwa,

Napenda kuwapa habari kuwa sisi tunatoa matibabu ya stroke kwa wenye matatizo hayo, kwa mawasiliano zaidi wasiliana na mimi kwa 0654158574/ 0765353056.
vipi kuhusu GBS na CIDP? AU NI STROKE TU NYIE
 
Stroke(kuharusi)
Ni hali ya ubongo kushindwa kufanya kazi kwa ghafla, kwa sekunde mpaka dakika au Zaidi kutokana na damu kushindwa kufika sehemu husika za ubongo. Amabapo sehemu ya ubongo iliyo athirika haiwezi kufanyta kazi vizuri sababu ya kukosa mzunguko wa damu. Hali hii husababisha miguu,mdomo na uwezo wa kuona kupungua au hata kufa.
Chanzo:
1. Shinikizo la juu la damu
Shinikizo la juu ka damu(Hypertension) ni hatari sana katika kusababisha stroke sababu msukumo wa kasi katika vishipa vya damu katika ubongo hufanya vishipa hivyo kupasuka na damu kuenea katika ubongo hivo kusababisha kiharusi
2. Kiwango kikubwa cha rehemu(lipids)
Mtu mwenye mafuta mengi kwenye nishipa ya damu anakuwa katika hatari kubwa ya kupata stroke sababu mafuta hayo huziba mishipa isiweze kupeleka damu katika ubongo hivo husababisha stroke
3. uvutaji wa sigara
uvutaji wa sigara husababisha shinikizo la damu, kupungua kwa kiwango cha mazoezi hufanya damu kuwa nzito pia husabaisha kuganda na hivo kuongeza hatari ya kupata stroke
Jinsi ya kuepuka stroke
Acha uvutaji wa sigara
Fanya mazoezi mara kwa mara
Kula mlo bora
Kwa wanaosumbuliwa na stroke green world ina products za kumaliza tatizo lako
Green world chitosan capsule
Green world lipid care tea
Green world super CQ-10
Green world deep sea fish oil
Green world Gingko biloba
Green world garlic oil
Green world super nutrition,

Phone no, 0713…871599

attached pictures below ,,,
View attachment 383890
 
KIHARUSI au ‘stroke’ ni hali inayotokea baada ya sehemu ya ubongo kushindwa kufanya kazi yake kwa sababu ya kukosa kupata mzunguko wa damu inayoelekea kichwani, hivyo chembe hai za ubongo kufa, baada ya kukosa hewa safi yaani ‘oxygen’ na virutubisho vingine vilivyo kwenye damu.

Sehemu hiyo ya ubongo ikiharibika, inasababisha kazi zilizokuwa zinafanywa na sehemu hiyo kutokufanyika. Kiharusi ni hali ya dharura inayohitaji matibabu ya haraka na ya umakini.

Kuna aina tatu za kiharusi:

KIHARUSI CHA KUKOSA HEWA

Kiharusi cha kukosa hewa kwenye ubongo yaani ‘Ischemic stroke.’ Hiyo inatokea baada ya mishipa ya damu inayopeleka damu kwenye ubongo au mishipa ya damu ya ubongo kuziba au kusinyaa sana.

Hivyo basi, inasababisha sehemu iliyopo mbele ya huo mzibo ‘blockage’ kukosa hewa safi ya oksijeni na virutubisho vingine na kusababisha seli hizo kufa. Kama sehemu hiyo iliyoharibika ilikuwa inashughulikia misuli fulani, basi misuli hiyo utaona imeathirika, kama ni sehemu inayohusika na kuongea, basi mgonjwa atashindwa kuongea n.k.

Aina hiyo ya kiharusi, imegawanyika katika sehemu kuu mbili. ‘Thrombotic Stroke; Hiyo husababishwa na mzibo uliokuwepo ndani ya mshipa wa damu safi (artery), ambayo inalisha ubongo na kutengeneza ‘clots’ zinazoitwa ‘thrombosis’ zinazoweza kuwa katika mishipa mikubwa au midogo.

Mara nyingi, wagonjwa wenye ‘Atherosclerosis’ huwa wanapata kiharusi kwa njia hiyo.

KIHARUSI CHA MZIBO
Aina hiyo ya pili inaitwa ‘Embolic stroke.’ Hiyo inatokana na mzibo unaosababishwa na ‘clot’ ambayo hutokea sehemu nyingine ya mwili, mbali na ubongo na kuingia katika mishipa ya damu ya ubongo na kwenda kuziba ndani ya ubongo.

Mfano mtu mwenye matatizo ya moyo, damu inaweza kuganda kwenye moyo na baadae damu iliyoganda, ikasafirishwa kwenda kwenye ubongo na kiziba huko. Mtu mwenye ‘Atrial Fibrillation’ huwa ana nafasi ya kutokewa na hali hiyo.

KIHARUSI CHA KUPASUKA MISHIPA

Kiharusi aina hii, inatokana na mishipa ya damu ya ubongo kupasuka na damu kuvilia kwenye ubongo. Kitaalamu inaitwa ‘Hemorrhagic stroke.’ Matatizo makubwa yanayosababisha hali hii, kwanza ni inayoitwa kitaalamu Aneurysms’ na pili, ni mishipa ya damu kuzeeka.

Mingine na wengine ni ‘Arteriovenous Malformation’ (AVM),AVM ni matatizo ya kuzaliwa na sio kurithi. Mishipa ya damu safi na damu chafu inaungana bila ya kuwepo mishipa midogo midogo ya ‘capillaries’ kati yao.

Pia husababisha kuta za mishipa hiyo kuwa hafifu na endapo kutatokea msukumo mkubwa wa damu isivyo kawaida, basi mishipa hiyo huwa rahisi kupasuka na damu kuvilia ndani ya ubongo.

Aina hii ya pili ya kiharusi huwatokea mara nyingi watu wenye shinikizo la damu.

KIHARUSI CHA MUDA MFUPI

Aina ya tatu ni ‘Transiet Ischemic Attack (TIA).” Hii inafanana kidogo na ile aina ya kwanza, ila kwenye hii, dalili na madhara ya kiharusi hayakai muda mrefu.

Mtu anaweza kupata dalili hizi kwa muda wa dakika moja hadi tano hivi, na mara nyingi dalili hizo huwa zinapotea katika masaa 24.
Katika aina hii ya kiharusi, mtu huwa hapati madhara ya kudumu, madhara huwa ni ya muda mfupi.

Kikubwa cha kufanya ni kuzuia hali hiyo isitokee tena, kwani inaweza kurudia na kusababisha kiharusi kikubwa. Kitaalamu, hali hiyo ya TIA inaitwa ‘Mini-Stroke’

DALILI ZA KIRAHUSI
Dalili kuu za kiharusi ni kama zifuatazo;

• Kupata ganzi au udhaifu ambao mara nyingi unaanza ghafla. Mara nyingi huwa unatokea upande mmoja wa mwili, yaani kushoto au kulia. Mara nyingi, husababisha upande mmoja wa uso kufa ganzi au kuwa dhaifu.

• Kuchanganyikiwa na kushindwa kuongea, hali inayotokea ghafla.

• Kupoteza uwezo wa kuona. Kitu kimoja, kinaonekana kama vile vipo viwili, ukungu, kupoteza nguvu ya kuona inayoweza kutokea kwenye jicho moja au yote mawili.

• Ghafla, kichwa kinauma sana, bila ya kuwa sababu maalumu na mara nyingine huambatana na kusikia kichefuchefu au mtu anatapika.

• Kushindwa kutembea ghafla, kushindwa kusimama na kusikia kizunguzungu.

• Wakati mwingine mtu anapoteza fahamu.

NAMNA YA KUZUIA KIHARUSI

• Kuangalia au kupima msukumo wa damu yaani, ‘Blood Pressure’

Ni muhimu sana na hasa kwa watu wenye matatizo hayo, kuhakikisha misukumo yao ya damu inakuwa katika hali ya kawaida kila mara.

Msukumo wa damu kuwa juu, una madhara mengi, ikiwemo hilo la kupasuka mishipa ya damu ya kwenye ubongo na kusababisha kiharusi.

• Kuwa na tabia ya kupima wingi wa helemu ‘ Cholosterol levels’

Ni muhimu sana, kila mtu akawa na tabia ya kupima wingi wa lehemu ili kujua aina gani ya lehemu ambayo kwako ipo juu au chini.

Wingi wa lehemu mbaya yaani ‘bad cholesterol’ unasababisha lehemu hiyo kujishikiza au kukaa katika mishipa ya mtu ya damu na kusababisha kupungua tundu la kupitisha damu ndani ya mshipa wa damu.

Wakati mwingine, mafuta hayo huwa yananyofoka kutoka katika kuta za mishipa hiyo ya damu na kwenda kunasa katika sehemu nyingine ya mwili, kwa mfano katika ubongo na huleta madhara ya kiharusi. Hiyo ina maana, itazuia damu kupita kabisa au kupita kidogo sana

• Kuzuia uvutaji sigara na unywaji wa pombe uliopitiliza.

Utafiti mwingi umefanyika na kugundua madhara makubwa ya sigara. Uvutaji sigara na unywaji pombe uliopitiliza, husababisha kiharusi. Kemikali zilizokuwepo kwenye sigara zina uwezo mkubwa wa kuharibu kuta za mishipa ya damu.

Kibaya zaidi ni kwamba, kama mvutaji wa sigara ana mwili mnene uliopitiliza, ana ugonjwa wa shinikizo la damu au kisukari, inamuweka katika wakati mbaya zaidi.

Kwa wale wanaotumia dawa za kulevya, kwa mfano aina ya Herroin, wana hatari kubwa ya kupata kiharusi, kwani utegemezi wa kilevi hicho huzaa madhara makubwa katika moyo wake na kuharibu mfumo mzima wa msukumo wa damu, hali inayotishia maradhi ya kiharusi.

• Kufanya mazoezi; Mazoezi ni muhimu sana kwa afya ya mwanadamu. Mazoezi yanaweza kuzuia nafasi ya mtu kupata ugonjwa wa shinikizo la damu na kisukari.

• Kupunguza msongo wa mawazo; Ni muhimu sana kupunguza msongo wa mawazo hasa kwa mtu mwenye ugonjwa wa shinikizo la damu na kisukari.

Mtu anapokuwa kwenye msongo wa mawazo mwili wake unatengeneza homoni zinazosababisha kuongezeka kwa msukumo wa damu, pia kutengeneza homoni zinazosababisha mwili kutoa sukari katika ini ambako ilihifadhiwa na kuiingiza kwenye damu.

Hivyo, iwapo mtu ana ugonjwa wa kisukari, hapo ndio inaleta shida, maana sukari yake kwenye damu, itakuwa juu wakati yeye anatumia dawa. Hivyo, hali hiyo ya sukari kuwa juu mwilini anaweza asiitambue.

• Jifunze au uwe na tabia ya kula vyakula vyenye mafuta kidogo. Vyakula vyenye mafuta kwa wingi, husababisha mwili kuwa na mafuta mengi, hali ambayo si nzuri kiafya na inaweza kusababishia magonjwa ya moyo na hatimaye kiharusi.

• Kula vyakula vyenye chumvi kidogo. Asilimia kubwa ya chumvi inayotumiwa, ina madini ya ‘sodium.’ Hiyo ni kemikali ambayo ipo zaidi katika majimaji yaliyomo mwilini mwetu, hasa nje ya chembehai zilipo.

Mwili unakuwa na kiwango maalumu cha kemikali hiyo na iwepo wa kemikali hiyo kwa wingi, unasababisha kuongezeka kwa msukomo wa damu.

Hivyo basi, tukila chumvi kidogo maana yake tunaingiza hiyo ‘sodium’
kidogo na kutunusuru kwa kupanda kwa msukumo wa damu na maana yake kutupunguzia athari za kupata kiharusi.

Kwa ujumla, ni vizuri kubadili mfumo wa maisha tunayoishi ili kujinusuru
na kupata kiharusi.
 
Back
Top Bottom