Ugonjwa wa kiharusi/ kupooza (stroke): Kinga, tiba na jinsi ya kukabiliana na maradhi haya

Bro nauguz ata kuandk najikZ hope nimeleweka.
Kweli?
Kwamba kuandika huku una majonzi ndio sababu ya kukosea kosea maandishi?

Unashindwa kuandika "nauguza"?
Unashindwa kuandika "kuandika"?
Unashindwa kuandika "najikaza"?
 
Habari wanaJF, naomba ushauri na maelekezo kidogo kuhusu hiyo hali imemkuta baba

Amepata stroke upande wa kulia tangu Jumamosi na amewahi hospitali hadi sasa wame-control BP lakini hawampi mazoezi japo stroke yenyewe imempiga mkono wa kulia na mguu kukaa hadi akalishwe, mguu wake na mkono wake bado unahisi kwa kiasi ambako anaweza kukunja mguu na kumtingsha mkono na akiguswa anasikia

Naomba ushauri nifanye nini zaidi ile aweze kurudi katika hali yake

Hatua niliyowaza kumuhamisha hospitali kumpeleka hospitali yenye wataalamu wa mazoezi. Please niongezee mawazo.

Niko kituo cha x cha afya (w) Rombo
mkuu hiyo kitu haiponi kama malara au tumbo la kuhara.
inachukua muda ,hadi miaka
kuwa mtulivu
 
Kweli?
Kwamba kuandika huku una majonzi ndio sababu ya kukosea kosea maandishi?

Unashindwa kuandika "nauguza"?
Unashindwa kuandika "kuandika"?
Unashindwa kuandika "najikaza"?
Ulimlipia ada ya shule? Why such an effort
 
Kweli?
Kwamba kuandika huku una majonzi ndio sababu ya kukosea kosea maandishi?

Unashindwa kuandika "nauguza"?
Unashindwa kuandika "kuandika"?
Unashindwa kuandika "najikaza"?
Acha umbeya kikubwa umeelewa Uzi wa mleta mada mwenzako anauguliwa so yuko panic mode, jifunze kuacha mengine yakupite na kujaribu kuvaa viatu vya watu wengine
 
Mkuu cha msingi hapo ni kukocontrol hiyo presha kama anayo na kumpa matunda na mboga mboga ila cha msingi kabisa muanzishe Mazoezi madogo madogo mapema sana ndio ata recover haraka
 
Back
Top Bottom