King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,890
- 69,144
Inasikitisha Sana.
Mkuu inaonekana unanidhamu sana likija swala la ulaji na unywaji. Safi sana kwa hili kwasababu nilishasomaga comment yako flani huu ni mwaka wa 14 soda haijaingia kinywani mwako huo ni ujasiri asee.Na bado
Ova
We acha tu kwa sie ambao tumeuguza aina hii ya watu tunajua gharama zakeHapa ukiwa maskini hutoboi masta
Ni balaa hasa.
Utamkuta dogo Chaliifrancisco anakupigia hizo za Mo na half cake humuambii kitu. adriz anafuturu na hizo za mo, vitumbua na tambi basi ukimkuta kibarzani jioni jua limezama na msuli wake na wake zake wanne weeeZa mo ndo uchafu kabisa
Mo na Kibatala ndo watu wawili nchini waonevu sana. They're doing illegal things legally.Inasikitisha Sana.
Ukisema TBS wafanye kazi yao kwa weledi na viwanda vya vinywaji viweke viwngo stahiki za kemikali utaambiwa mchochezi au unasumbua wawekezaji“Kumekuwa na changamoto ya ongezeko la wagonjwa wanaofika wakiwa katika hatua za mwisho za kuchuja damu. Kwa wastani, kwa wiki tunawapata wanne mpaka tisa wanaohitaji kuchuja damu na wengi ni vijana.Tunajaribu kutafakari sana kwamba changamoto hasa ni nini,” anasema Kessy Shija, mkuu wa kitengo cha figo na daktari bingwa mshauri wa magonjwa hayo katika hospitali hiyo.
Hata hivyo, Dk Shija anasema utafiti mdogo wa mahojiano kati ya daktari na mgonjwa, unaonyesha kuwepo kwa matumizi makubwa ya vinywaji maarufu vya kuongeza nguvu (energy drinks) na pombe kali.
Umenena vemaKuna siku ntaleta uzi jinsi hivi tunavyokula vinaleta magonjwa Kama kansa n.k, mavitu sokoni wake zenu wananunua vimepigwa dawa, makabeji hayo, hizo nyanya, michicha na mboga zingine za majani, na zaidi Kuna makala maalum ililetwa na channel flan kuhusu dawa za kuulia wadudu mashambani ambazo zimepigwa marufuku huko nchi za ulaya ila afrika zinauzwa na hata Tanzania zipo,,na hio ishu ni nzito sana hata waandishi was habari waliandaa hizo makala walipitia vikwazo vingi hata huyo mfanyakazi wa shirika la chakula alietoa Siri hakuwekwa wazi sura yake wakati anahojiwa, na ni mpango wa siri wa China huu hata ukienda kuangalia uongozi wote wa juu was shirika la chakula, ni wachina, hata anaengoza ni mchina,,wakati wa kinyang'anyiro hicho Cha uchaguzi wa kuchagua head of hilo shirika la chakula, watainiwa walikua wanne, lakin ajabu wote watatu walijiengua akabaki mchina akashinda,,je China Wana interest gani na shirika hili la chakula? Mambo ni mengi. Tuwe makini Sana Kama unaweza kulima mboga zakko bila kutumia madawa haya nyumbani fanya hivyo...utanishukuru baadae.
Ungekuwa na uwezo huo ungekuwa bilionea saizi,Mkuu dawa ya kutibu maradhi ya figo ninayo kwa mtu mwenye hayo maradhi anione na kunitafuta kwa wakati wake ili niweze kumtibia maradhi yake
Yani hawajali hata wapalestina wanavyoonewa na kukandamizwaIla kama ni pombe sasa hivi vijana wanakunywa pombe sana, hizi open bar na muziki mjini zimekuwa nyingi sana, kama hivi vi pombe shop kwenye frame za maduka ndio usiseme.
Hali inatisha.