Ugonjwa mpya wa kutokwa vipele

Ivo vipele mimi vilinitokea January ya mwaka huu,, nadhani inasababishwa na maji pia hali ya hewa..

Niliingia mjini daslama nikakaa kama wiki tatu ivi, kuna maji ya kisima niliogea ndo nikapata ivo vipele..

Vinawasha sio mchezo, na kuna dogo pia alipata, nadhani uo ugonjwa uko dar tu .

Ila scaboma lotion inasaidia, nenda maduka ya madawa inapatikana
 
Ivo vipele mimi vilinitokea January ya mwaka huu,, nadhani inasababishwa na maji pia hali ya hewa..

Niliingia mjini daslama nikakaa kama wiki tatu ivi, kuna maji ya kisima niliogea ndo nikapata ivo vipele...
Inauzwaje
 
Huu ugonjwa tusisingizie chanjo ..hivi vipele Huenda vikasababishwa na magonjwa Kuna magonjwa mengi yanayosababisha vipele na niyakuambukiza hasa kwa watoto
 
Kuna mlipuko wa Surua ulitokea 2006 ambapo hadi watu wazima walipata, amabapo unatoka vipele vidogo na kuwasha, macho kuwa mekundu na homa mild
 
hivyo vipele vilimpata rafiki yangu ye alienda kwa daktari wa ngozi akapewa dawa ya vidoge na lotion ya kupaka nadhani inauzwa elfu 15 na akaambiwa hivyo vipele ni ugonjwa na unaambukizwa kwa kushare mavazi, lodge kama mashuka ni machafu na pia ukiwa kwenye msongamamo wa watu ukigusana na mwenye vipele na pia huwa vinawasha sana wakati wa usiku
 
Itakua maji na manadiliko ya hali ya hewa. Dogo pia amepata vipele
Huyo Dogo yeye ni rahisi kumponya, mtumbukize kwenye maikrowevu washa kipimo cha kati juu, kwisha habari yake (usijaribu nyumbani).
Tumia B B E lotion, paka asubuhi baada ya kuoga na mwili kukauka, usioge wala usipake tena jioni kwani hupakwa mara moja tu kwa siku na hufanya kazi saa ishirini na nne (24).





Eti nimecheka mwenyewe.
 
Back
Top Bottom