Msaada: Nimepatwa na hali ya kutokwa na vipele vidogo mwilini na vinawasha sana

papag

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
1,137
1,609
Habari wakuu?

Nimepatwa na hali ya kutokwa na vipele vidogo mwilini na vinawasha sana.

Je ni nini tatizo na ipi tiba yake?

Ahsanteni.
 
Back
Top Bottom