Ugonjwa mpya wa kutokwa vipele

Asee huu ugonjwa umenikumba pia.Ni ugonjwa hatari na vipele vinawasha sn,yaani vinawasha kwelikweli,mapaja yote Yana madoa sasa hivi na Mimi ni mweupe basi utadhani Nina ukurutu

Wiki mbili zilizopita nikaenda Kwa doctor Amir pale Gaya nikapigwa dizi ya nguvu na ukimwi nikapimwa..now ugonjwa ndy unaishia ishia Ila madoa bado hayajaisha kwenye mapaja
 
Mbadiliko ya hali ya hewa na tabia nchi
Hapana hapana hapana mkuu..ni ugonjwa hatari na hauna uhusiano na Hali ya hewa.Mimi imenisunvua kuanzia mwezi wa sita Hadi sasa ndy napona tena nimeenda hospitali mara mbili

Hospital Walikuwa na mtazamo wako nikapewa dawa ya kupaka Tu lkn Hali ilizidi kuwa mbaya..Mara ya pili ndy wakawa serious nikapimwa Hadi damu na ukimwi juu nikapewa dozi ya maana ya wiki 16 now nipo wiki ya 3 lkn nimeshaanza kupona..kinachonisumbua ni madoa Tu maana Mimi ni mweupe sasa hivi sivai 'kauwoshi'

Unaambiwa usiombe huu ugonjwa ukimbilie kwenye pumbu utaimba haleluya..nilikuwa najikuna usiku wa manage Hadi napanic..ni ugonjwa hatari sn
 
Hiyo hali sio poa. Mwezi uliopita imenipata sana.

Nimekwenda hosp daktari kasema ni fungus. Nimekunywa dawa bado hali hiyo inatokea.

Nikimeza certizen inatulia.
Nikinywa maji mengi ya kutosha na matunda matunda inapungua.
nikila vyakula vya mafuta mafuta na nyama inazidi.

Ngoja nibadili maji ya kuoga pia nione maana karibuni nimefunga huduma mpya ya maji.
 
20210704_172930.jpg
2925342_20210629_070758.jpg

Vilinitokea mwezi wa 6, nilihangaika kweli, nimeenda hosp 3, hola.

Nikaja kupona na Calamine lotion, pamoja na shampoo flani nimesahau jina.

Nilichoma had sindano tukijua ni infection,

Na kilianza kipele kimoja mgongoni, vikawa vinaongezeka kilasiku.

Kuhusu kuambukiza sidhani, nilikuwa na lala na wife hata hajapata.

Picha 1. Wakati vinaisha vinapona
Picha 2. Wakati vimepamba moto
 
IMG_20210913_115447.jpg
 
View attachment 1935856
2925342_20210629_070758.jpg

Vilinitokea mwezi wa 6, nilihangaika kweli, nimeenda hosp 3, hola.

Nikaja kupona na Calamine lotion, pamoja na shampoo flani nimesahau jina.

Nilichoma had sindano tukijua ni infection,

Na kilianza kipele kimoja mgongoni, vikawa vinaongezeka kilasiku.

Kuhusu kuambukiza sidhani, nilikuwa na lala na wife hata hajapata.

Picha 1. Wakati vinaisha vinapona
Picha 2. Wakati vimepamba moto
Eeh, vinatishaa
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom