Ugonjwa mpya wa kutokwa vipele

Kuna kipindi Cha Mwendazake watoto walikosa chanjo za magonjwa mbalimbali baada ya kuwaita wahisani mabeberu.

Haya ndio matokeo. Na Sasa wafuasi wake wanakataa chanjo ua Covid-19. Nayo tutakuja kuona matokeo baadae
 
Eti kuna hali mpya imeibuka inawatokea watu wanatokwa vipele kama tetekuwanga na vinawasha? Inatokea kwa baadhi ila rika zote
Chanzo ni nini?
Na tiba je?
maelezo hayatoshi.
JamiiForums-1133332532_480x464.jpg
 
TAFUTA LINDANE CREAM AU LOTION JIPAKE BAADA YA KUOGA ZINGATIA USAFI WA NGUO PIA JITAHIDI USAFI WA SHUKA LA KULALIA HADI UTAKAPO PONA ..UJU UTUPE MREJESHO
 
Back
Top Bottom