Ugonjwa mpya wa kutokwa vipele

Post M-alone

JF-Expert Member
Aug 18, 2021
271
1,000
Usijidai kwamba ndio unaelimu wakati wewe ni demu unakojoa umechuchumaa Sasa hestamine ndio kitu gani ni choroko au big g
ID yangu inaonyesha kabisa mimi ni mwanaume, kwa mujibu wa jamaa amesema kuna vyakula flani akila miwasho inapungua pia kuna vyakula flani akila miwasho inaongezeka, katika hali ya kawaida kuna vyakula vyenye histamine kwa wingi na vyenye histamine kiasi, ulipaswa kuingia mtandaoni na ku google histamine ni kitu gani.

Miwasho yeyote iwe allergy n.k inasababishwa na histamine, histamine ni chemicals ambazo immune system huwa inaachia kama kuna injury infection au allergy, kwa hio kama una histamine intolerance hata upake kitu gani sio suluhisho, tatizo ni la ndani ya mwili na sio nje.

Kumbuka jinsia sio cheo na usidharau mwanamke eti anakojoa amechuchumaa kwani mama yako huwa anakojoa amesimama? kama huna elimu hukusoma sema au uliza na si kutusi watu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom