Jiang Yang
Senior Member
- Jul 18, 2012
- 182
- 111
Nakumbuka walisha wahi kuwekeana tarehe sawa za matamasha yao enzi beef lao likiwa kwenye peak. Nafurahi kuona wanazungumza hivi tena public. Hongera sana.
Hawajawai kuwa na ugomvi,walishana kidogo tu kwa sasa wako poa
It was more of a business beef rather than a personal one and there was a third party involved.
Jide alijaribu kuji mwamba fy akachemka
Bifu lake na Ruge akataka liwe bifu la Wasanii wote na Ruge
Jide alijaribu kuji mwamba fy akachemka
Bifu lake na Ruge akataka liwe bifu la Wasanii wote na Ruge
Ruge ndio alikuwa anamtumia FA na wasanii wengine kumharibia Jaydee. Mwanadada ali-mind sababu FA alikuwa rafiki yake, na sasa akawa anatumika kuharibu mkate wake.
Nan alishinda unadhani?
Wakati Ruge ana bifu na Sugu, Jide alibaki na Clouds na Sugu hakumtukana Jide kwa kuwa alijua kila mtu ana uhuru wa kuchagua Rafiki na kuchagua Adui
Jide aliwahi kushiriki ku-sabotage show au mipango yoyote ya Sugu?
Alikua hana smartphone na hakuwepo Jijini DSM hivyo hawezi kukupa jibu sahihi mkuuNan alishinda unadhani?
Alikuwa anashiriki matamasha yote yaliyoandaliwa na Clouds yenye lengo la kuharibu matamasha ya Sugu