Ugomvi wa Mwana FA na Commando Jide uliisha?

Jiang Yang

Senior Member
Jul 18, 2012
182
111
Nakumbuka walisha wahi kuwekeana tarehe sawa za matamasha yao enzi beef lao likiwa kwenye peak. Nafurahi kuona wanazungumza hivi tena public. Hongera sana.

Adjustments.JPG
 
Back to Memory lane Sister P vs Zay b


Huku napitia tu kama kusoma historia ya vita ya Majimaji (Sipo huku kabisa)

Ahsante
 
Ruge ndio alikuwa anamtumia FA na wasanii wengine kumharibia Jaydee. Mwanadada ali-mind sababu FA alikuwa rafiki yake, na sasa akawa anatumika kuharibu mkate wake.

Wakati Ruge ana bifu na Sugu, Jide alibaki na Clouds na Sugu hakumtukana Jide kwa kuwa alijua kila mtu ana uhuru wa kuchagua Rafiki na kuchagua Adui
 
Nan alishinda unadhani?

Hayakuwa Mashindano

Upande uliohisi umekosea ulijirudi na ukarudisha mahusiano

Ushamba na utoto ndio chanzo cha mtafaruku ule

Yaan Wewe ukigombana na Clouds uwe ni ugomvi wa Wasanii wote?, mbona Ugomvi wa Sugu na Clouds haukuhusu wengine?
 
Wakati Ruge ana bifu na Sugu, Jide alibaki na Clouds na Sugu hakumtukana Jide kwa kuwa alijua kila mtu ana uhuru wa kuchagua Rafiki na kuchagua Adui

Jide aliwahi kushiriki ku-sabotage show au mipango yoyote ya Sugu?
 
Back
Top Bottom