saudari JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 2,655 Reaction score 2,783 Feb 26, 2013 #1 Piga nikupige.
Fixed Point JF-Expert Member Joined Sep 30, 2009 Posts 11,304 Reaction score 12,753 Feb 26, 2013 #2 ha haaa, huyo wa juu alishajiandaa kwa ugomvi, si unaona na bukta yake? yaani imenikumbusha Mtakuja Primary School, lol!
ha haaa, huyo wa juu alishajiandaa kwa ugomvi, si unaona na bukta yake? yaani imenikumbusha Mtakuja Primary School, lol!
G grandpa Senior Member Joined Aug 24, 2008 Posts 185 Reaction score 4 Feb 26, 2013 #3 Huyo wa juu kavaa chupi?
F fukunyungu JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 717 Reaction score 196 Feb 26, 2013 #4 grandpa said: Huyo wa juu kavaa chupi? Click to expand... Bukta Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
grandpa said: Huyo wa juu kavaa chupi? Click to expand... Bukta Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,962 Reaction score 77,244 Feb 26, 2013 #5 Bukta ni kwaajili ya shari kubwa.
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,488 Reaction score 100,883 Feb 26, 2013 #6 Huyo wa chini mbona kama vile naona "Original"? Mpwa saudari hio sio biology kweli? anafanana na LITTLEAngel Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Huyo wa chini mbona kama vile naona "Original"? Mpwa saudari hio sio biology kweli? anafanana na LITTLEAngel
kimeloki JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 2,730 Reaction score 2,848 Feb 26, 2013 #7 Wagombanao ndio wapatanao ila hapo mmh
gfsonwin JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 18,272 Reaction score 20,720 Feb 27, 2013 #8 wameshiba msosi hao wangekuwa na njaa muda huo wangekuwa wanasaka menu
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,767 Reaction score 288,340 Feb 27, 2013 #9 Noted :whoo: FP said: ha haaa, huyo wa juu alishajiandaa kwa ugomvi, si unaona na bukta yake? yaani imenikumbusha Mtakuja Primary School, lol! Click to expand...
Noted :whoo: FP said: ha haaa, huyo wa juu alishajiandaa kwa ugomvi, si unaona na bukta yake? yaani imenikumbusha Mtakuja Primary School, lol! Click to expand...
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,343 Reaction score 111,608 Feb 27, 2013 #10 Huyo mdada aliyevaa blauzi ya bluu mbona kama amtia do.le mwenzake???
D Dina JF-Expert Member Joined Sep 18, 2008 Posts 3,248 Reaction score 1,822 Feb 27, 2013 #11 Huu ugomvi mwingine bwana khaa! Sasa huyo wa chini yeye bukta lake limetoka kabisa?
Tetra JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 1,526 Reaction score 771 Feb 27, 2013 #12 Akuanzae mmalize!
KakaKiiza Platinum Member Joined Feb 16, 2010 Posts 11,952 Reaction score 9,469 Feb 27, 2013 #13 Hadi G-Sport inachungulia??awesome!
morphine JF-Expert Member Joined Jan 26, 2012 Posts 3,513 Reaction score 1,114 Feb 27, 2013 #14 kitu mielekea live, huku kwetu Tandale vitu vya kawaida hivyo dogo anashuhudia maza anapigana mpaka anabakia mtupu...daah acheni tu :eyeroll1:
kitu mielekea live, huku kwetu Tandale vitu vya kawaida hivyo dogo anashuhudia maza anapigana mpaka anabakia mtupu...daah acheni tu :eyeroll1:
Fekifeki JF-Expert Member Joined Nov 18, 2011 Posts 1,550 Reaction score 700 Feb 27, 2013 #15 Vituko uswahilini jamani! Natamani ningekuwepo eneo la tukio, ningefaidi zaidi!! Ha haaaa.......
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 19,030 Reaction score 22,570 Feb 27, 2013 #16 huyo wa chini amevaa "tupu", hapo unaweza kuta anayegombewa hayupo kabisa eneo hilo.
Tamatheo JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 3,298 Reaction score 1,562 Feb 27, 2013 #17 Nimeamini wahenga walipotanabaisha "Vita ya Panzi furaha kwa Kunguru"
saudari JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 2,655 Reaction score 2,783 Feb 27, 2013 Thread starter #18 BAK said: Noted :whoo: Click to expand... Vipi mkuu BAK,leo hautusindikizi na wimbo?? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
saudari JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 2,655 Reaction score 2,783 Feb 27, 2013 Thread starter #19 Tetra said: Akuanzae mmalize! Click to expand... Huyu wa juu inaonyesha anauzoefu na maugomvi, si umeona alivyomrukia kichwa mwenzake!!!
Tetra said: Akuanzae mmalize! Click to expand... Huyu wa juu inaonyesha anauzoefu na maugomvi, si umeona alivyomrukia kichwa mwenzake!!!
saudari JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 2,655 Reaction score 2,783 Feb 27, 2013 Thread starter #20 watu8 said: Huyo mdada aliyevaa blauzi ya bluu mbona kama amtia do.le mwenzake??? Click to expand... Na wewe hauishiwi visa, anampandisha bukta bhana.
watu8 said: Huyo mdada aliyevaa blauzi ya bluu mbona kama amtia do.le mwenzake??? Click to expand... Na wewe hauishiwi visa, anampandisha bukta bhana.