we utawaua wenzako kwa kicheko.ha haaa, huyo wa juu alishajiandaa kwa ugomvi, si unaona na bukta yake?
yaani imenikumbusha Mtakuja Primary School, lol!
Huyo wa juu kavaa chupi?
Kunguru yuko wapi?
Kunguru yuko wapi?
Sababu ya kining'inio.
Wanajidhalilisha hawa mapunguani,halafu huyo wa juu kavaa nini ndani!nimezoom mpaka mwisho lakini bado sijajua kavaa nini ndani siamini kama ni bukta!!!Huyo wa juu kavaa chupi?
Kwa maono yake mtumishi wa Mungu Mwana Mtoka Pabaya, hawa ni vijana wa UVCCM wanajiandaa kuchukua nafasi za UWT......tehe tehe tehe!
Atakuwa anagombewa nani, mimi sijui....Kidumu Chama cha Mafisadi..!!!!1