Luv
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 2,740
- 6,114
da himidini umeoa?????????????
Swali zuri!
da himidini umeoa?????????????
kweli kabisa aisee mimi na wife tunagombana mara kibao kwa maneno, minuno na ngumi lakini baadae huisha na tunaendelea kama kawaida
Ugonvyi si kitu cha kuendekeza maana wengine huwaachia makovu moyoni just imagine ugonvyi unatokea halafu mme anamtamkia "mwanamke yaani wewe mwanamke wa hovyo kwanza ulijipendekeza kwangu ndo nikakuoa wala sikuku penda".
Hata wakisamehana hayo maneno atayakumbuka hata baada ya siku nyingi.
dahhh umenikumbusha mbali sana mkuu,kuna rafiki yangu alinisimulia walipokuwa na ugomvi wa maneno mumewe alimwambia ushukuru nilikuoa nisingekuoa unafikiri nani angekutaka? daaahhh kiukweli niliumia mno kama mimi ndo mwambiwaji,na ukweli ni kwamba licha ya msamaha alioumba mume wa huyo rafiki yangu na machozi juu anasema sikuzote hayo maneno yamekuwa ni makovu moyoni mwake na anashindwa kuyatoa maana kila wakati yanamrudia kichwani mwake,kwa hivyo kwa kweli ugomvi mwingine una madhara ya kuendelea.
Mkuu naogopa ugonvyi kama njaa mimi ugonvi sioni kama ni kipimo cha upendo.
Dah! jukwaa lingekuwa hivi tungepata elimu sana juu ya haya mahusiano,lakini nina swali kwa mtoa maada au kwa yeyote aliyeisoma maada husika Ugomvi wa kila siku nao huimarisha au hubomoa maana kuna wengine maugomvi hayaishi leo simu kesho hiki yaani unakuta hata majirani mnahusishwa kwa namna moja ama nyingine maana inakuwa kama kero vipi kwa wahusika huwa inaimarisha hii?
Ugonvyi si kitu cha kuendekeza maana wengine huwaachia makovu moyoni just imagine ugonvyi unatokea halafu mme anamtamkia "mwanamke yaani wewe mwanamke wa hovyo kwanza ulijipendekeza kwangu ndo nikakuoa wala sikuku penda".
Hata wakisamehana hayo maneno atayakumbuka hata baada ya siku nyingi.
^^
Ehee tunaomba uzoefu wako Mkuu
^^
Ha ha ha, kwa uzoefu wangu mdogo tu, mapenzi matamu ni yale ambayo hayana kuzinguana ndani yake,,, mkianza mambo ya kununuana tena na kukaribisha stress ndio mwanzo wa kuchokana na kila ktu kumpuuza mwenzake. Ni hayo tu
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Huu ni ukweli kabisa
^^
Ha ha ha si unaona kuzinguana ndio kulinda penzi, sasa we unataka kuwa na mtu ambae uwe nae usiwe haimhusu chochote? Kwa taarifa yako, hata huyo girlfriend wako anahitaji mwanaume anamchesha akili, wanawake hawapendi mahusiano yaliyopoa.
^^
Umtafute wa kugombana nae si mwanangu upo bwana wewe lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums