ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 16,684
- 39,473
Issue ya ushemeji tulimaliza jana we ndio umeiibua mkuu😅Ni ghafla sana! Kuchati tuu hapa na kuomba tuone "ugiligili" wake ndo nishapewa ushemeji? 😊
Issue ya ushemeji tulimaliza jana we ndio umeiibua mkuu😅Ni ghafla sana! Kuchati tuu hapa na kuomba tuone "ugiligili" wake ndo nishapewa ushemeji? 😊
Issue ya ushemeji tulimaliza jana we ndio umeiibua mkuu😅
Ni utani babu yangu 😅😅😅 just relaxNimerudi sababu nimeona bado unanishambulia kiaina! 😊
Sijajua shida ipo wapi?;
Ni utani babu yangu 😅😅😅 just relax
Astghafirullah unalo tu woiiioSasa unafiki umekujaje kwenye utani! 😊
hivi kuna uwezekano masomo ya sayansi yangefundishwa kwa lugha ya kiswahili, wanafunzi wengi wangeweza kufaulu na kuyaelewa vizuri tofauti na ilivyo sasa ?Dah! Wewe jamaa 🤣🤣🤣
Archimedes principle Kwa kiswahili " kama kitu kikizama chote au nusu kwenye ugiligili kinapata kani mnyenyuo ambao ni sawa na uzito wa ugiligili uliomwagika"
😄😄😄 yani unavyo nipamba sasa,khaaMtoto mkaleee kama wewe unaanzaje kwa mfano🤣
Nitaliaa sana ukifanya hivyo
Ni kweli maa🥰😄😄😄 yani unavyo nipamba sasa,khaa
senki yuuh ila sikuzidi 💃🥳Ni kweli maa🥰
😅😅 umeanza uje unipikie basi mgonjwa nguvu sina dihasenki yuuh ila sikuzidi 💃🥳
polee mgonjwa,, unajiskia kula nini😅😅 umeanza uje unipikie basi mgonjwa nguvu sina diha
Hata najua sasa shoga chochote tu🤣🤣polee mgonjwa,, unajiskia kula nini
Hell no! Tungeongeza kukaririshana. Misamiati ya sayansi migumu sana mfano neno dogo tu Dorsoventral flattening kuliweka kama msamiati mmoja wa kiswahili ni kimbembehivi kuna uwezekano masomo ya sayansi yangefundishwa kwa lugha ya kiswahili, wanafunzi wengi wangeweza kufaulu na kuyaelewa vizuri tofauti na ilivyo sasa ?
Kuna nadharia kwamba vijana wetu hawafanyi vizuri kwa sababu wanafundishwa kwa lugha wasiyoielewa vizuriHell no! Tungeongeza kukaririshana. Misamiati ya sayansi migumu sana mfano neno dogo tu Dorsoentral flattening kuliweka kama msamiati mmoja wa kiswahili ni kimbembe
Mishikaki ongezea na limao zima zima D 😋😋