Mnanguliti
JF-Expert Member
- Apr 16, 2023
- 887
- 2,616
Umetisha mkuu kwa ukauzu, kweli umeamua kuukaushia ugiligili wa win maana issue isingekomea kuiona tu ugiligili mngeenda hatua nyingine mbele.Hapana; PM yangu nimefunga. 😊
Kwanini usiweke hapa hapa "ugiligili" tuuone.
Kweli utekaji umetuharibia Sana nchi duh, naona unaacha mali ya Bure kabisa kwa kuhofia huenda unataka kuingizwa mkenge watu wakupolepole