Ugeni na ....

Kwanza pole. Naona mumeo anaukarimu wa Kisukuma. Sisi watu wa kabila hili tunaukarimu wa ajabu sometimes unapita mipaka. Mtu wa kabila lamgu yaani home boy wangu tukikutana tunataka tunywe sana muziki kelele sana tunaongea kwa sauti kubwa sana na ili kumthibitishia huyu ndugu yake kuwa mimi ndiyo mwenye hii nyumba na ndioi menye sauti nitamwambia feel at home hata kulala.

Inawezekana wewe ndio uliijua London mapema na ukamiliki appartment. Mume akakujoin kwako. Ili asionekane ameolewa inabidi ajikweze sana na kukaribisha sana watu ili kuproovu yeye ndiye final say.
On the other hand nyie dada zetu. Mkipata wakati mwingine mnaishia kutupa manyanyaso.
Wife wangu alitangulia London mimi nikaja kuishi apprtmet yake. Sharia kibao. Alipohamia Maryland US. Nilienda na amini usiamini nilifika hotelini mpaka nilipopata apprtment mimi. Mama usije ukawa na wewe ndio hivyo tena ikawa kazi yake kipato kikubwa ndio usiseme hata kachupa ka wine eti kamalize wiki! Kisa unamaliza pesa!. Wakati tunakutana mimi nalaza nyagi moja kwa jioni moja tuu.
Kama sababu zote nyie hammo baasi dada ndoa yako inanyemelewa na ugonjwa mbaya sana unaitwa kuchokana. Unapoona mmeo anaprefer sana company ya watu baki jua he is bored dalili utaziona hadi kitandani. In this case do something ...makungwi watamalizia.
 
Hajakatazwa kwenda kujumuika na mtu yoyote. Sema uchokoraa ndo unaomsumbua naona na wewe ndo hao hao. Pole.

khe, yashakuwa hayo tena!
mi nilidhani unatafuta mawazo kumbe nimekosea
sasa unaniita chokoraa! :-(

hata hivyo asante kwa pole yako.
 
Ukishakuwa na maamuzi kichwani, hata ushauri huwa hausaidii. Inakuwa kama kumpigia mbuzi gitaa.
 
Asante kwa maoni yako. Nipo uk, mgeni hakuwa amelewa, alikuwa na bus ticket ya one month. Let me wait for other members contribution also.

Kwa maoni yangu mumeo alifanya kitu cha maana kumruhusu rafiki yake kulala hapo badala ya kuomumba akapande basi na kukumbana na usumbufu wa kupanda basi saa za usiku. Wahuni baada ya kugundua kwamba amelewa wangeweza kumfanyia uhuni wowote ule hata kumuua maana hivi sasa mauaji ya weusi yameongezeka sana UK. Imagine mngejisikiaje kama angemwambia akapande basi halafu kesho yake mnasikia mwili wake umeokotwa mahali. Ulikuwa ni usiku mmoja tu mama sidhani kama ulitia dosari kubwa katika maisha yenu ya kila siku.
 
Mapenzi ya dhati yanaambatana na kuvumiliana. Ukijiona uko kwenye mahusiano na vitu vidogo vidogo vinakuwa kero, unaweza kuweka penzi kwenye mizani.

Kama mumeo haruhusiwi kuleta rafiki yake kwa siku moja tu, vipi wifi yako atakaa hapo mwezi?

Je ingekuwa ni mtoto mliyemzaa kaleta rafiki yake kulala nae hapo nyumbani pia ungemkataza?

4x4 kuna zaidi ya hili, siamini kama mgeni wa siku moja anaweza kuwa kero kiasi hiki, hasa kwa wapendanao.
 
Nashukuru kwa mawazo, yawezekana hobbies haziendani. Nasiwezi kujilazimishia kuiga hobbies zake! Na zaidi ya hapo naoana anapenda magenge kama chokoraa. Mtu asiyekuwa na discipline na kuithamini ndoa yake ni kama chokaraa.

4x4 kuna zaidi ya hili, siamini kama mgeni wa siku moja anaweza kuwa kero kiasi hiki, hasa kwa wapendanao.

...'siri ya mtungi, aijuaye kata!'

inawezekana sana kunaupungufu wa 'effective' communication baina ya wanandoa hawa, au mume anawatumia wageni (bila wao kujijua) kumkwaza mkewe.

mwisho wa 'visa na visasi' kwa ndoa kama hii huwa ni mbaya sana,...
 
Hapa ni yale yale NATAKA STAKI. Unawezaje kumwimwita mwenzako unaeishi naye CHOKORAA? Kwa nini usitumie neno lingine la kistaarabu zaidi? Inavyoelekea wewe ni mkorofi sana ndo maana jamaa anatafuta watu wa ku-hang around naye saa zisogee. Haya ndo matatizo ya famila nyingi. You need time to make impetus in your new family.
lakini kama nilivyokwishasema, UNATAKIWA uache mdomo na maneno ya dharau. Unaweza kujikuta unadandia pipa la kurudi bongo saa hii.
 
Ukorofi kanifundisha yeye yaghe. CHOKORAA NI CHOKORAA TUU. kama mtu unamkanya kwa nini asisikie, si utamfanisha na chokoraa tuu. Na sio eti sipendi wageni, napenda sana ila kuwe na limit of everything. Na bora ingekuwa ni mara moja moja basi in a blue moon. In a month it happens like 3 times in weekends. Looh! Yakikaa vibaya pipa tutakweya tuu hio sio tatizo, I was not chases away. Lol!
 
Mapenzi ya dhati yanaambatana na kuvumiliana. Ukijiona uko kwenye mahusiano na vitu vidogo vidogo vinakuwa kero, unaweza kuweka penzi kwenye mizani.

Kama mumeo haruhusiwi kuleta rafiki yake kwa siku moja tu, vipi wifi yako atakaa hapo mwezi?

Je ingekuwa ni mtoto mliyemzaa kaleta rafiki yake kulala nae hapo nyumbani pia ungemkataza?

4x4 kuna zaidi ya hili, siamini kama mgeni wa siku moja anaweza kuwa kero kiasi hiki, hasa kwa wapendanao.

Asante sana mama kwa ushauri , mbona wifi huja mara kwa mara na wageni wengine wa mbali. Hio sio issue.
 
akimleta siku nyengine ukiona dalili za kumkaribisha tena kulala .. unavaa kanga moja na mapemaaaa ... ujipitishe mara mbili tatu mbele yao .. si unajua tena mtoto wa kike .. mumeo will think otherwise .. usijisumbue kugombana nae .. actions speak louder than words
Mh... wewe hufai kabisa.Hufai.....
 
4x4 mimi naona kama ningumu kukushauri maana inavyoelekea wewe mwenyewe ushakua kama sikio lakufa.. why umuite mwenzio CHOKORAA na hali unampenda nahisi ndoa imeshageuka ndoana.
 
Ukorofi kanifundisha yeye yaghe. CHOKORAA NI CHOKORAA TUU. kama mtu unamkanya kwa nini asisikie, si utamfanisha na chokoraa tuu. Na sio eti sipendi wageni, napenda sana ila kuwe na limit of everything. Na bora ingekuwa ni mara moja moja basi in a blue moon. In a month it happens like 3 times in weekends. Looh! Yakikaa vibaya pipa tutakweya tuu hio sio tatizo, I was not chases away. Lol!
Akiendelea kukuudhi mpendwa tutafutane uamie kwangu,sina tabia mbaya kama za chokoraa huyo.Yaani hakufai kabisa,ni PM kwa maelezo zaidi.
 
Mapenzi ya dhati yanaambatana na kuvumiliana. Ukijiona uko kwenye mahusiano na vitu vidogo vidogo vinakuwa kero, unaweza kuweka penzi kwenye mizani.

Kama mumeo haruhusiwi kuleta rafiki yake kwa siku moja tu, vipi wifi yako atakaa hapo mwezi?

Je ingekuwa ni mtoto mliyemzaa kaleta rafiki yake kulala nae hapo nyumbani pia ungemkataza?

4x4 kuna zaidi ya hili, siamini kama mgeni wa siku moja anaweza kuwa kero kiasi hiki, hasa kwa wapendanao.

Kwa upande mwingine namuunga mkono bibie. Mwanamke lazima uwe na wasiwasi kidogo sio kubweteka tu. Hata kama ni mawifi au nani analala au kuja bila utaratibu usiojulikana vizuri usiwape nafasi wakupande kichwa. Wewe hujasikia akina dada kibao bongo hii wanatembea na kaka zao huku wakimtamba kwa wifi yao??? Wengine wamejikuta wakigombana wao kwa wao kisa wanamgombania kaka yao ambaye tena keshaoa. Makubwa hayoooo!!! dunia ya sasa.
 
Akiendelea kukuudhi mpendwa tutafutane uamie kwangu,sina tabia mbaya kama za chokoraa huyo.Yaani hakufai kabisa,ni PM kwa maelezo zaidi.

Na wewe kama unatoa msaada toa sio kashfaa. Nije kwa kwa mpangilio gani sasa. Kama unaushauri wakunipa naomba uni PM wewe. Na hicho kipengele cha PM ndo nini hasa maana sikielewi ati.
 
Waamshe walio lala mwaya, maana tukisema sisi tunaonekana roho mbaya.
 
Akiendelea kukuudhi mpendwa tutafutane uamie kwangu,sina tabia mbaya kama za chokoraa huyo.Yaani hakufai kabisa,ni PM kwa maelezo zaidi.

Mkubwa sasa inakuwaje? hatwendi hiyo bwana vinginevyo goal ya 2009 itakuwa ngumu kuifikia. Au utaifikia haraka then itakuwa majuto. Usitwambie kuwa juu mtarajiwa viwango hujawaka? Kila la heri. TBS muhimu mzee kwikwi kwikwiwiii kwaaaa
 
akimleta siku nyengine ukiona dalili za kumkaribisha tena kulala .. unavaa kanga moja na mapemaaaa ... ujipitishe mara mbili tatu mbele yao .. si unajua tena mtoto wa kike .. mumeo will think otherwise .. usijisumbue kugombana nae .. actions speak louder than words

Ha ha ha We Naima mbona unamchuuza mwenzio!!! Njemba ikishaona inavaliwa kanga moja kila ikija itaanza kupata dhana isiyokuwepo...labda binti anamtaka...hivyo atahamia hapo na si ajabu akaanza kujipitishapitisha wakati saa ambazo rafikiye hayuko nyumbani...;) just thinking aloud... shemeji shemeji huku wazima taa...;)
 
Na wewe kama unatoa msaada toa sio kashfaa. Nije kwa kwa mpangilio gani sasa. Kama unaushauri wakunipa naomba uni PM wewe. Na hicho kipengele cha PM ndo nini hasa maana sikielewi ati.
Ushauri wangu bwana wako hakufai njoo kwangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom