Uganda Vs Rwanda kimenuka

Uganda Vs Rwanda kimenuka

M7 huyu huyu huyu ambaye out of 21 founding members wa jeshi lake NRA 11 walikua hao wanya rwanda ambaoni ni wakina PK&Rwigema etc.

Huyu huyu M7 aliyepewa kichapo na RDF pale kisangani akabaki kulia lIa eti wameniwahi huku maelfu ya UPDF soldiers wakifa vitani.

Huyu huyu M7 ambae kagame alikua CMI(Chief of Mikitary Intelligence) wa jeshi la Uganda mpk M7 akaambiwa nakujua mpk unapolala.

Rwanda walikua wanamtumia huyu Mkuu wa jeshi la polisi IGP(Kaihura) kwa inshu zao kuja kushtuka it's too late.

Yule CDF wa Uganda Gen. Katumba walimshtukia kiaina lkn hao wakina PK walikua washafanya mambo yao.

M7 akikohoa kidogo tu wanakomaa tu khs Buganda kingdom kutawala Uganda anaanza kulia lia ukiangalia ashakua mtu mzima sasa(more than 70 years) hawezi kurudi msituni tena,ni shiiiiida.,huku akijua yule mtoto wake anayempandisha vyeo vya kijeshi kila siku Gen. Muhooza hana uzoefu wowote wa vita ya maana zaidi ya kujua kuoongoza kikosi cha ulinzi cha babaake.

Msimamo wangu uko pale pale anayeweza kuithibiti Rwanda kwa hapa East Aftica ni mbabe bongo land(TPDF) only na sio nchi nyingine yoyote ile.

Wana uzoefu gani Hao rwanda?vita ya kupigana na wahuni wa mstuni ambao hawana vifaru ndege nk hizo huwa ni operesheni tu sasa mwambie ajichanganye kwa mseveni ambaye nchi yake ilishaonja uchungu wa vita[
/QUOTE]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi habari zinafanana na uzushi. Fake news.
Unamjua huyu Richard Sezibera ni nani?
Screenshot_20190302-134438.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwaiyo ubora wa RDF ni ushindi wa kisangani?

Victory memory ya RDF ni kisangani ?

Kisangani haikuwa vita bt ilikuwa ni heavy battle pia hawa RDF walikuwa eneo la kimbinu zaidi kuliko updf

Nadhani ile battle updf walipotea kwa sababu ya akili finyu ya general kazini basi

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Thibisha
M7 huyu huyu huyu ambaye out of 21 founding members wa jeshi lake NRA 11 walikua hao wanya rwanda ambaoni ni wakina PK&Rwigema etc.

Huyu huyu M7 aliyepewa kichapo na RDF pale kisangani akabaki kulia lIa eti wameniwahi huku maelfu ya UPDF soldiers wakifa vitani.

Huyu huyu M7 ambae kagame alikua CMI(Chief of Mikitary Intelligence) wa jeshi la Uganda mpk M7 akaambiwa nakujua mpk unapolala.

Rwanda walikua wanamtumia huyu Mkuu wa jeshi la polisi IGP(Kaihura) kwa inshu zao kuja kushtuka it's too late.

Yule CDF wa Uganda Gen. Katumba walimshtukia kiaina lkn hao wakina PK walikua washafanya mambo yao.

M7 akikohoa kidogo tu wanakomaa tu khs Buganda kingdom kutawala Uganda anaanza kulia lia ukiangalia ashakua mtu mzima sasa(more than 70 years) hawezi kurudi msituni tena,ni shiiiiida.,huku akijua yule mtoto wake anayempandisha vyeo vya kijeshi kila siku Gen. Muhooza hana uzoefu wowote wa vita ya maana zaidi ya kujua kuoongoza kikosi cha ulinzi cha babaake.

Msimamo wangu uko pale pale anayeweza kuithibiti Rwanda kwa hapa East Aftica ni mbabe bongo land(UPDF) only na sio nchi nyingine yoyote ile.

Hahahaha, OK hapo ktk UPDF ulikua una maanisha TPDF ama?

MTC | 101|
 
Hahahaha, asee Kisangani war ,OK

Nadhani hii vita mngeijadili kwa upana wake ,maana bila hivyo tutaachana njia panda ,kuna aliyewahi kuingia RDC na akawa tayari (RDF) anaijua miundo mbinu na kuna aliyekuja baadae ( UPDF)

OK uzuri Mjadala uko poa,wengine tubaki wachombezaji tu na kusoma
Kwaiyo ubora wa RDF ni ushindi wa kisangani?

Victory memory ya RDF ni kisangani ?

Kisangani haikuwa vita bt ilikuwa ni heavy battle pia hawa RDF walikuwa eneo la kimbinu zaidi kuliko updf

Nadhani ile battle updf walipotea kwa sababu ya akili finyu ya general kazini basi

Sent using my iPhone using jamiiforum app

MTC | 101|
 
Mjomba unazijua mig 21 zetu?,nikupe taarifa ni ndege vita za toleo la kati zisizochuja uwezo kwa miaka nenda rudi ni sawa na land rover old version heshima na uwezo wake uko palepale hizo nyingine ni maboresho ya ziada tokea kwa kina mig21 kama ni gari hilux redio ya button na mark x redio ya touch lakini wote mnasikia na mnaenda mnapotaka.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwezo wa Mr slim kumfanyia kitu mbaya M7 upo lkn wakitawangana nchi na nchi slim kaumia hasa yakifanyila mashambulizi ya nguvu(mapigo na mwendo)

Ila vita ikizidi wiki moja basi uganda kaumia na sijui ni kwanini

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Mkuu anzisha Uzi ili ufafanue zaidi kuhusu hiyo vita kwa lengo la kuweka kumbukumbu sawa tu
Hahahaha, asee Kisangani war ,OK

Nadhani hii vita mngeijadili kwa upana wake ,maana bila hivyo tutaachana njia panda ,kuna aliyewahi kuingia RDC na akawa tayari (RDF) anaijua miundo mbinu na kuna aliyekuja baadae ( UPDF)

OK uzuri Mjadala uko poa,wengine tubaki wachombezaji tu na kusoma

MTC | 101|

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vita ikianza sioni Rwanda ikishinda kwasababu tatu tu.
1. Burundi na yeye atatumia huo mwanya kuvamia Rwanda.
2. Wahutu watambadilika Kagame.
3. Tanzania kwa siri tutamsaidia Uganda kwasababu ya bomba la mafuta.
 
Back
Top Bottom