Uganda: Hongera Mzee Museveni kwa kumsaidia Rais Magufuli kuelewa na kujibu maswali ya Waandishi

Status
Not open for further replies.
bila kuupload clip wote tukaona kichojiri; huu utabaki kuwa mtazamo wako wa kichawi tu.
 
Ndo maana mliitwa WAPUMBAVU NA MALOFA na mzee Mkapa., jana ulikuwa unamnanga M7 pamoja na Kagame na Nkurunziza kuwa ni madikteta, leo unadai laiti kungekuwa na wazee kadhaa kama M7 East Africa, ndo maana huwa hatushangai kwanini mlizungusha mikono na kudeki barabara pamoja na kutangaziwa miaka zaidi ya saba na viongozi wenu kuwa lile ligombea lenu ni FISADI papa.
Hii inonyesha ulivyo mpuuzi kama huwezi kugundua kejeri ndani ya andiko lake. Pole huenda uko chatto airport
 
Kwa museven alivyoking'ang'anizi, aisee magu ni bora mara mia. Halafu kuhusu english huu ni ushamba wetu, Putin wa russia huzungumza vizuri zaidi kijerumani (amekaa miaka mitano ujerumani) kuliko english ambayo huchapiachapia,Xi jimping wa China hawezi kuzungumza kiingereza kwa zaidi ya dk mbili kwa sababu hakijui vyema, iweje iwe nongwa kwa wakwetu aliyekulia chato? Muulizeni kwa kisukuma au kiswahili, tuone kama kuna swali litamshinda
 
..mtoa mada ulitakiwa utuletee video clip.

..sasa hebu tuwasikilize Magufuli na Museveni hapa chini.

..

Lumumba wakati mwingine wajifunze kuukubali ukweli rais hakulielewa swali na video ipo inaonyesha hivyo, yeye aliishika kusema "you just chose to continue with human rights or corruption" hadi Museveni alipomsaidia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom