Uganda: Hongera Mzee Museveni kwa kumsaidia Rais Magufuli kuelewa na kujibu maswali ya Waandishi


Status
Not open for further replies.
Ki Mun

Ki Mun

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2014
Messages
3,450
Likes
3,981
Points
280
Ki Mun

Ki Mun

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2014
3,450 3,981 280
Waganda ndo maana nyakati sengine wanamupenda Musee yao...Mzee Museveni ni mwungwana mno na Afrika Mashariki laiti tungekuwa na Wazee kama hawa basi leo tungepiga hatua kidogo kimaendeleo.

Rais wetu alipata shida kidogo kuelewa na hata wakati mwingine kujibu maswali ya waandishi hasa lile la Mzungu aliyemwuliza ni kwa kiasi gani inahitajika kukanyaga haki za msingi za raia ili kukomesha rushwa...kwanza Rais hakulielewa swali japo alichukua kalamu kuliandika...ndipo hapo Rais Museveni alipomfafanulia kilichosemwa na yule Mzungu na pia kumsaidia kujibu.

Na kwa watakaopata clip nzima, mwangalieni Waziri Kabudi...kuna wakati ameinamisha uso wake chini na kuufunika kwa mikono yake mithili ya mtu asiyeamini anachokisikia kutoka kwa boss wake, au anajisikia aibu, au anatamani kingesemwa kwa weledi zaidi.

VIDEO:


Narudia kusema, Thank you Muzee M7 kulinda hadhi ya Rais wetu, na wakati wote wewe ulionesha heshima kumwita rais wetu "His Excellence" japo ye mwenzako hata mara moja hajakutambua hivo, kazi unayo:p

Kuna vitu TBC hawawezi kutuonesha LIVE...Na kwa hali hii naona SAFARI YA ULAYA BADO SANA, OR NEVER!

FULL PRESS: Magufuli na Museveni walivyojibu maswali ya waandishi wa habari.
 
J

Jmc06

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2016
Messages
1,162
Likes
1,889
Points
280
J

Jmc06

JF-Expert Member
Joined May 11, 2016
1,162 1,889 280
Ndo maana mliitwa WAPUMBAVU NA MALOFA na mzee Mkapa., jana ulikuwa unamnanga M7 pamoja na Kagame na Nkurunziza kuwa ni madikteta, leo unadai laiti kungekuwa na wazee kadhaa kama M7 East Africa, ndo maana huwa hatushangai kwanini mlizungusha mikono na kudeki barabara pamoja na kutangaziwa miaka zaidi ya saba na viongozi wenu kuwa lile ligombea lenu ni FISADI papa.
 
nankumene

nankumene

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2015
Messages
5,556
Likes
5,059
Points
280
nankumene

nankumene

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2015
5,556 5,059 280
Eeh!
Hakujua kama kungekuwa na waandishi wa habari, angejua angeahirisha na ziara yenyewe.

Ikimbukwe kuwa alifukuza mtu kazi kwa kujikita kwenye ukweli zaidi ya kuwa hupaswi kukosea kutaja takwimu.
hahahahaaaaaa
 
R

rwamuli

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
554
Likes
625
Points
180
R

rwamuli

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
554 625 180
Kwahiyo ulitaka iweje!!!

Wewe hujawahi kupitia hayo tena kwa lugha yako... ulichoandika hakiendani na ulichotaka kuanzishia uzi ukezubguka huku ukiwashwa washwa tu...
Duuh huu sasa Ni ubishi maandazi, Waja tumeumbwa na haya tukubali kuwa braza kikristu hakiwezi na Ni aibu hasa
 
Sam bm

Sam bm

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2017
Messages
286
Likes
185
Points
60
Sam bm

Sam bm

JF-Expert Member
Joined Oct 25, 2017
286 185 60
Kama ngoyai lowasa alivyosema "mwandishi naona unanionea" hapo alikuwa akihojiwa na BBC swahili na mtangazaji zuhura yunus
 
Mjina Mrefu

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Messages
2,738
Likes
2,448
Points
280
Mjina Mrefu

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2016
2,738 2,448 280
Kwahiyo ulitaka iweje!!!

Wewe hujawahi kupitia hayo tena kwa lugha yako... ulichoandika hakiendani na ulichotaka kuanzishia uzi ukezubguka huku ukiwashwa washwa tu...
Huwezi kukomenti hivyo hapa (in magufuli's voice)
 
Waberoya

Waberoya

Platinum Member
Joined
Aug 3, 2008
Messages
12,511
Likes
4,888
Points
280
Waberoya

Waberoya

Platinum Member
Joined Aug 3, 2008
12,511 4,888 280
Waganda ndo maana nyakati zingine wanampenda Muzee yao...Mzee Museveni ni mwungwana mno na Afrika Mashariki laiti tungekuwa na Wazee kama hawa basi leo tungepiga hatua kidogo kimaendeleo.

Rais wetu alipata shida kidogo kuelewa na hata wakati mwingine kujibu maswali ya waandishi hasa lile la Mzungu aliyemwuliza ni kwa kiasi gani inahitajika kukanyaga haki za msingi za raia ili kukomesha rushwa...kwanza Rais hakulielewa swali japo alichukua kalamu kuliandika...ndipo hapo Rais Museveni alipomfafanulia kilichosemwa na yule Mzungu na pia kumsaidia kujibu...

Narudia kusema, Thank you Muzee M7 kulinda hadhi ya Rais wetu, na wakati wote wewe ulionesha heshima kumwita rais wetu "His Excellence" japo ye mwenzako hata mara moja hajakutambua hivo, kazi unayo:p
mkuu its normal kutoelewa swali ndio maana mtu aanaweza ku rephrase....kurudia n.k

kingine magu hatakiwi kujua kiingereza!! anatakiwa kuwa rais

ndio maana kafunga mirija yote unaumia sasa!! unakuja kwa kejeli.....
 
Tindikali

Tindikali

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2010
Messages
1,029
Likes
896
Points
280
Tindikali

Tindikali

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2010
1,029 896 280
Halafu sasa swali lenyewe lingekuwa rahisi sana kwa Magufuli kwa sababu huyo mzungu haelewi kinachoendelea Tanzania.

Haki za raia zinazokanyagwa sio za watuhumiwa wa rushwa.

Wapinzani wanaoandamwa, kukamatwa na kuuawa sio kwa kesi za rushwa. Nyumba zinavunjwa sio kwa kigezo cha kupigana na rushwa. Wakosoaji wa mitandaoni wanaokamatwa sio kwa kigezo cha rushwa na wabunge wanaoongelea takwimu za uchumi na kukamatwa haijawahi kusemwa wanatuumiwa kwa rushwa.

Swali la mzungu is ill informed.

Haki zinakandamizwa kwa kisingizio cha uchochezi. Magufuli anajua anachemka, he is in over his head (kiuwezo, hii kazi inamzidi kimo), anaogopa kukosolewa ndio maana ana circumscribe all opposition and trample over civil rights. Simple as.

Nothing to do with his anti corruption campaign.
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,238,829
Members 476,196
Posts 29,332,996