Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,543
- 4,670
Wapenzi wa Ugali mkikumbuka vyema huyu msanii mkongwe maarufu wa mziki wa bongo flavour Juma Kassim nature amekuwa mstari wa mbele kuutangaza chakula cha ugali.
Nature kaweka wazi jinsi anavyoupenda Ugali. Siku haipiti bila mwamba huyu Kula Ugali.
Hadi kwenye album Yake flani aliiita Ugali na kutunga nyimbo ugali.
Juma Nature anatakiwa awe balozi wa ugali. Akiutetea kuhamasisha watu Kula ugali na kulinda maslahi ya ugali Katika kupanua wigo Mpana Katika maswala na Nyanja mbalimbali za maendeleo na muktadha mzima wa mustakabal wa Taifa letu na vizazi vingi vijavyo.
Ni wakati Nature atunukiwe ubalozi wa ugali ukizingatia sasa hivi ugali unapigwa vita na tukicheza vizazi vijavyo vitatulaumu Sana Kwa kukosa Kula hiki chakula pekee Cha aina Yake.
#UgaliFirstUgaliForever
adriz