Ugali ni chakula kisicho na faida katika ubongo

hazole1

JF-Expert Member
Jan 3, 2015
4,319
3,911


Marekani mahindi hutumika kama chakula cha mifugo kwa 80% na 20% for fuel (ethanol) and for export. Inasemekana utumiaji mkubwa wa nafaka za mahindi hupelekea akili kuwa pumbafu (kulala) hivyo uwezo wa kung'amua mambo huwa mdogo.

Chanzo: Muungwana Blog

My take
Wengi wanapenda kuishi maisha kukalili hata bila kufikiri.


Kama watu wanasema kwa sababu marekani mahindi zinakula ng'ombe.
na kukimbilia kusema ugali hauna faida yoyote mwilini hiyo inakuwa sio pointi.

Kwa sababu kunawatu mchele wanazilushia njiwa kwa sababu hiyo hauwezi kusema wali hauna vitamini yoyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shuleni sijui vijana wanasoma nini siku hizi.

Wanga(Carbohydrates) kazi yake sio kuongeza akili kwenye ubongo wako. Ina maana shuleni siku hizi watoyo hawafundishwi aina ya chakula na faida zake?

Chochote kinachofanyika marekani basi watanzania lazima wataiga tu.

Mkuu hamia marekani ukapigwe miti kama walivyo vijana wa huko.
 
Kwa taarifa yenu ugali ulianzia mexico Kwa indigenous the mayans and aztec. Ukisoma historia ya ancient civilization. Hadi leo indigenous was mexico Honduras el Salvador wanakula ugali na wanajivunia wenyeww wanaita callito. Sisi tunaotawaliwa na mbumbumbu Sizonje et tunadharau ugali
 
acha waige marekani tu. Ama ulitaka waige kukariri hadi wapate phd feki??
 
Ninakwenda kwenye restaurants zao lunch time, wanapiga menu kama sisi, starter unaletewa bakuli la red kidney beans, main course rice, roasted pork, salad, unashushia na frozen yougurt.
 
Huu utafiti naukubali kwa asilimia 98, haiwezekani tuwe na akili timamu afu bado tuendelee kuichagua CCM na upuuzi wake wote toka tupate uhuru. Haya maugali ndio yanafanya tuwaone CCM watu wa maana.
Ndugu wewe ni hatari. Dahhhh umenifurahisha sana.
Haiwezekani mtu timamu kwa siku hizi aishangilie CCM inayotunga sheria ya madini kwa dharura huku madini si chipsi kwamba zikilala zinaharibika
 
Kwani mwili mzima ni ubongo tuuh..! Umekukuza afu unaudhalilisha ugali..!
 
kwa statistics hizi anamaanisha kuwa usa hawatimii mahindi kabisa, huu ni uongo mweupe: kuna corn oil na cornflakes ambazo huliwa mno na age zote, je, hayo siyo matumizi ya mahindi?. mbona tittle ni ugali lakini content ni mahindi, are they interchangable?. btw, mi hula makande na bisi zaidi kuliko ugali
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…