Ufuska na udharilishaji Bongo Movie Club | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufuska na udharilishaji Bongo Movie Club

Discussion in 'Entertainment' started by WISDOM SEEDS, Jun 14, 2011.

 1. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Bongo Movie Club wanajiandaa kwenda Dodoma kwa ajili ya mechi yao na Wabunge
  hapo Ijumaa, lakini tayari kuna kashfa imeikumba club hiyo na viongozi wanajitahidi kuzima
  kashfa isijulikane kwenye vyombo vya habari kabla hawajacheza na wabunge.

  Jana kutwa nzima na hata leo wana kikao cha kuweka mambo sawa hasa. Nimebahatika kuipata
  meseji iliyotumwa na Msani mmoja wa kike kwenda kwa viongozi wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF)
  akiwalalamikia, meseji yenyewe ni hii (sijaongeza neno):
  Ni msg yenu VIONGOZI kabla ya safari ya Dodoma; Kumekuwepo unyanyasaji mkubwa kwenye
  CLUB, ngono, majungu na ufisadi. msanii wa kike aitwaye SNURA kagaragazwa sana na Stieve Nyerere
  walipokwenda Mwanza. Hartmann (mwenyekiti wa club) kawagaragaza JACK na WEMA, na bado kuna
  wengine anawahitaji, tena kwa nguvu, nyie mmekaa kimya!
  Huyo Stieve na Chiki wamegeuza CLUB sehemu ya kujipatia pesa kwa mapedeshee. ONYO hatukuja
  kugarazazwa tuheshimiwe la sivyo tutaripoti kwenye vyombo vya habari.


  *Hapo kwenye RED nimeamua kubadili maneno yaliyokuwa yameandikwa kwa sababu za kimaadili
   
 2. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  .....huwa nikiangalia kile kipindi chao cha Bongo Movies, EATV, nabaki kucheka tu.
  ni kulalamikiana wenyewe kwa wenyewe na kung`ang`ania madaraka mwanzo mwisho. Sijui tatizo ni Elimu
   
 3. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  .....huwa nikiangalia kile kipindi chao cha Bongo Movies, EATV, nabaki kucheka tu.
  ni kulalamikiana wenyewe kwa wenyewe na kung`ang`ania madaraka mwanzo mwisho. Sijui tatizo ni Elimu
   
 4. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kwani kuna mtu kabakwa si wameelewana ? au ni kwa sababu huyu aliyeandika sms hajatongozwa yeye ?
   
 5. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Aliyeandika ni mmoja wa waliogaragazwa, ndiye aliyegaragazwa huko Mwanza.
  Sasa itanishangaza kama wameelewana halafu akaongoza timu ya wasanii wa kike
  wanaolalamika na kuwafanya viongozi wa club kutumia nguvu kubwa kuifunika kashfa
  hii isiende kwenye vyombo vya habari.

  Anyway, sijui undani wake vizuri, nitalifuatilia suala hili
   
 6. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #6
  Jun 14, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,192
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  Hata hollywood walianza kama bongo movies
   
 7. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #7
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Sielewi malengo ya hao watu wenye hio club ya Bongo movies,
  ila ukweli unabaki kua i am not surprised tokana na ukweli kua waigizaji
  wengi wa kike ni warembo na wanavutia - na wabunge wetu wana kashfa
  ya kuendekeza ngono wakiwa huko au hata wasipokua huko..

  Bila hata hio message ni dhahiri kua kutongozana na kupo saana ila
  kugalagazwa ni mtu mwenyewe uanaamua kua ulale na woote au lah!
  Siwezi walaumu saana wabunge, which man in TZ hatapenda hio nafasi ya
  kua na hao wadada hasa kama ukiwatokea wanakubali???
   
 8. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #8
  Jun 14, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,029
  Likes Received: 3,052
  Trophy Points: 280
  Wanasahau ya kwamba ukipanda mahindi utavuna maindi,sasa wanalalamika nini wakati huku nje sie wananchi tunawatambua hvyo?ama leo ndo wanaelewa maana ya kusudi zima la bongo muvi na muvi zao za umalaya zilizojaa ulimbukeni na ujuha

  mimi nikimuona mtu anazishabikia hzo muvi huwa nampima uwezo wake wa uelewa na uchambuzi wake kimtazamo,they just accerelate the killings our beloved brothers,students,fathers,uncles et.
   
 9. R

  Rubuye123 JF-Expert Member

  #9
  Jun 14, 2011
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 1,443
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  twangia mstari hapo kaka!interlectuals kama kina R.M.D ,OMO SEXY na wengine kama hao wenye shule zao na kujitambua,wakajiamini na vipaji vyao hawawezi kugaragazwa hovyo tu kwa kuonewa eti sababu wanapewa nafasi kutokea kwenye maigizo haya ambayo yana makosa yaleyale miaka yote!wale wanawake wao ni kama wako pale 'kuuza' tu!!
   
Loading...