Ufunuo wa nyakati za mwisho utimilifu wa dahari na kikomo cha muda

Mduara wa saba,vitasa saba,vinara saba, taa saba nakadhalika ulikuwa umebeba ujumbe kuhusu majira saba ya sauti kuu saba za muumba zilizotekwa na dunia na kugeuzwa kuwa nguvu za giza.Sauti izo zilipokelewa kwa mfumo huu:-

1. Kerubi (Ezekieli 28:15)
2.Adamu wa kwanza (Mwanzo 2:15)
3.Musa (kutoka 3:10)
4.Eliya Mtishibi (1Falme 17:1)
5.Yesu (matendo 10:38)
6.Adamu wa mwisho (1korintho 15:44-49)
7.Miaka 1000 (Isaya 33:6)

Izo ndizo sauti kuu saba zilizoachiliwa kuongoza majira(wakati) na kutimiza mistari hiyo iliyoandikwa.

Baada ya kupita izo majira ndipo tumefika kwenye 1korintho 15:24-28 Hapo ndipo mwisho, atakapompa Mungu Baba ufalme wake; atakapobatilisha utawala wote, na mamlaka yote, na nguvu.

Kwamba sasa tupo katika majira ya Muumba ambaye ni Chanzo Halisi (warumi 11:36) amekabidhiwa ufalme,utawala, mamlaka na nguvu.

Majira zilizopita zilikuwa za waliotumwa na yeye alikuwa anatuma sauti na nafsi zake tu lakini sasa kaja mwenyewe.
Ufunuo 9

Malaika wa tano akapiga baragumu, nami nikapanda nyota kutoka mbinguni iliyoanguka juu ya nchi; moshi ukapanda kutoka shimoni, kama moshi wa tanuru kubwa; na jua na anga vikatiwa giza kwa sababu ya moshi wa shimo. Nzige wakatoka katika moshi huo, wakaja juu ya nchi; nao wakapewa uwezo, kama vile nge wa nchi walivyo na uwezo. Wakaambiwa wasiharibu majani ya nchi, wala majani wala mti wowote. ila ni wale tu ambao hawana muhuri wa Bwana kwenye vipaji vya nyuso zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom