Ufungaji wa Nyuzi za Viatu....

Madame B

Verified Member
Apr 9, 2012
28,064
2,000
Asante Boflo.
Ngoja Niibebe nimpelekee Msela wangu Ghetto maana yeye kang'ang'ania style ya Display tuuuuuu.
 
Last edited by a moderator:

Zamaulid

JF-Expert Member
May 25, 2009
17,765
2,000
naona kiatu ni cha aina moja!!ila ufungaji tofauti,nini kinapelekea utofauti!je ni matukio unayo enda kuattend? Boflo
 
Last edited by a moderator:

Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,135
2,000
Hii picha nilikua nayo kipindi nipo college(university), basi sneakers zangu zote za kuchezea kikapu nilikua nimezifunga style tofauti tofauti kulingana na hiyo picha....
miss em old days...lol
 
Top Bottom