Mada za kitoto hizi
Celebs Uchwara.Wanasema Dick ni overrated coz anapewa promo kutoka kwa celebs wa bongo.
JF ni jukwaa kubwa kama hujaipenda maada fahamu haikuhusu.Zipo nyingi tu nyuzi za watu wakubwa huko jukwaa la siasa.Mada za kitoto hizi
Heshima kwenu wakuu.
Mada inajieleza. Kumekuwa na mgongano wa kimawazo kuhusu Nani mkali wa kufunga mziki kwenye gari jijini Dar?
Wanasema Dicksound ndo baba lao. Wengine wanasema kuna wakali pale Mnazi Mmoja - Lumumba street, Dicksound anasubiri! Vile vile nasikia kuna mtaalamu mwingine hatari sana mitaa ya Kisutu, ni mhindi huyu.
Sasa tukate mzizi wa fitina. Kwa wakati wa sasa, nani mkali wa car sound hapa town?
Namaanisha mziki mzito wenye quality. Sio makelele. Sio makelele ya kuungurumisha body ya gari utadhani spika ya debe au dumu!
Kama ana Mambo ya kifalafala Sisi ndani ya dakika 5 tunashusha hicho kiburi chooote, anabaki useless, tupo gambosh, Dar tunafika pia mikoani huduma inapatikana Kwa bei nafuu kabsa!Dick sound ni overrated afu Kama wewe sio celebrity au kiongoz Jamaa Ana customer care mbaya balaa plus bei za kifalafala